Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

Mnawapenda wasio wapenda tunaowapenda hamtutaki
We'll can't be blessed like you, and we don't get what we deserve. It's just what we Desire
 
Jeshini wanatesa?
Sijui mambo ya jeshi mkuu, ila acha kutumia mateso kama njia ya kufundisha/kulea kisa mtoto ni jinsia ya kiume..... usituletee watoto watukutu sisi walimu mshahara wetu mdogo asante
 
Sijui mambo ya jeshi mkuu, ila acha kutumia mateso kama njia ya kufundisha/kulea kisa mtoto ni jinsia ya kiume..... usituletee watoto watukutu sisi walimu mshahara wetu mdogo asante
Namaanisha kuwajengea ujasiri sio kuwatesa.
 
Namaanisha utafanyaje ili aweze kuwa na huo ujasiri wa kukabiliana na majanga kama hayo.
KIROHO-Kuwafundisha ukweli kuhusu Mungu na kusudi la kuumbwa kwao ikiwemo thamani walio nayo mbele zake
KIMWILI-Kuzingatia kanuni zote za afya,ikiwemo lishe,mazoezi na kupumzika
KIAKILI-Kuwafundisha common life skills kama vile Saikolojia ya binadamu,Uchumi,Risk management,Communication skills,Common Sense realism n.k
 
Back
Top Bottom