Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

Ukimpata mwanamke anayekupenda usimletee masihara utakuja kumlilia siku akibadilika

Ndio akome huyo, na wanaume wanaopenda kutesa wanawake Wanaowaheshimu sijui shida huwa nini, maana wanawake wenye tabia njema ndio huteseka kwenye ndoa kuliko mashangingi.
Hata kama hana heshima kumtesa siyo busara.
 
Kinachoniumiza wakati ananipenda...mi sikuwa na hisia nae,,,wakati ame give up...ndo najigundua kumbe nampenda...dah
Ndio tabia za wanaume wengi hao naona wanaume mnapendaga wanawake wasumbufu na pasua kichwa na kipindi mnacho ignore kinaumiza hisia Sasa mwanamke hasemi siku aki move on utajua hujui wallah
 
Ulijona shababi eh! Wanawake ni viumbe delicate ukimnyanyasa akikaa akapiga akili kuwa hayupo sehem sahihi anakuhama tu na hapo amna rangi utaacha kuziona[emoji23]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Nakazia
 
Mkiwachoka wanawake wenye upendo msiwatese mnipe mimi niwabembeleze maana wamekosa watu wa kuwabembeleza
 
Back
Top Bottom