Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Waafrica bana....warudi kwao waache kukaa kwenye nchi za watu kinyemela.
Safi sana wacha wachongeane tuu maana hao ninwezi tuu kama wezi wengine

Mtu pekee anayekuombea mafanikio ni mzazi wako tu.
Huko kwenye mkaa minjingu najua Niggers wameshakuroga sana tu lakini mwamba umekomaa.
 
Watu weusi wengi wana roho mbaya, achilia asiekujua hata rafiki yako wa karibu atakufitini ili usumbuliwe.
 
Watu wa hivyo hata vifo vyao vya utata, yanakufaga vifo vibaya sana, kuanzia ile sekta mpaka wafitinishaji
 
WATU WEUSI WANA ROHO MBAYA SANA
Tatizo letu ni kuwa tunatumiwa na hatujui kuwa tunatumiwa, tunaweza kuongopewa jambo na hatuwezi kulitafakari nini athari za jambo hilo, badala yake tunalitenda kwa kutuletea manufaa machache kwa mtu binafsi au kundi la watu, hatimaye tunakwenda kuharibu taifa zima.
 
Back
Top Bottom