Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Hao huko wanaojiita Wabajuni kutoka Kismayu- Somalia. Wabajuni ni Wasomali wenye asili ya Kibantu ( Pua zao na rangi ya ngozi yao ni sawa ya mimi na wewe)
Hapana mkuu achana na hao wabajuni
Wapo waliojilipua kama wasomali lakini ni wanyamwezi tu yaani wabongo kabisa
Hao ndio walichongeana
Walipokamatwa wakaletewa wasomali pure wawahoji kisomali
Wote walifeli na kurudishwa home
Watu wana roho za husda
 
Mbona hata milioni 2 hazifiki? Yaani umchome mqenzio umwaribie maisha kisa Dola 750? Kumbe Hawa watu ni njaa Kali sana
 
Kujifanya huongei Kiingereza si dawa. Utapelekwa detention Centre, utasota kule mpaka mwenyewe utasema kwenu ni wapi. After all kule immigration detention Centre kuna huduma ya ukalimani almost lugha kuu zote za dunia.
Ndio nitaongea majogoli mieeee, huko watakakonipelek nitatafuta na mchumba tuishi hukohuko
 
Mtu mweusi ana roho mbaya sana.

Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.

Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.

Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.

Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.

Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.

Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.

Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.

Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.

Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.

Mungu ingilia kati!

My take

Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.

View attachment 3233106

Nyau de adriz
Kwanini mnaishi kama panya buku wakati nchi yenu ipo? Njooni huku tulipe tozo wote…
 
Balali atakuwa na vibari kweli?😁
 
Ukishavuka mpaka wa Tanzania acha mazoea na watanzania wenzako. Ukiwa hata hapo Lusaka jichanganye zaidi na wenyeji kuliko wabongo wenzio. Hii ni kwa sababu za kiusalama.
 
Huyu mtu mweusi kapewa Uenyekiti wa Chama cha Conservative, kachukuwa nafasi ya yule Rishi Sunak alokuwa Waziri Mkuu, sasa hayo ndio maazimio alokuja nayo.
Wakati yeye mwenyewe ni mkimbizi katokea Nigeria ila sasa karamba asali anaweka sheria ngumu kwa wahamiaji wenzake yule Baniani yeye alipopata tu ile fursa ya Uwaziri Mkuu basi aliingiza Wahindi wenzake wasiopungua millioni 3 katika kipindi chake.

WATU WEUSI WANA ROHO MBAYA SANA
 
Kuna lijamaa lilienda US kiwizi wizi na halikunilipa pesa yangu sijui nikalichome nibebe kitita hicho. Nawaza tu.
 
Back
Top Bottom