PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Hii ni I'd nyingine ya adriz maana hizo avatar zinafanana aseeeKwani lazima umtaje adriz? 🤣
Cc adriz The Mongolian Savage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni I'd nyingine ya adriz maana hizo avatar zinafanana aseeeKwani lazima umtaje adriz? 🤣
Super woman happy valentines 😊😁Basi hapo wabongo watajazana kutoa taarifa hata wasingepewa pesa kwao fresh, muhimu watanzania wenzao warudi wateseke pamoja..!!
Kujifanya huongei Kiingereza si dawa. Utapelekwa detention Centre, utasota kule mpaka mwenyewe utasema kwenu ni wapi. After all kule immigration detention Centre kuna huduma ya ukalimani almost lugha kuu zote za dunia.Ndio maana nikiendaga ulaya na china sichekagi na mtanzania, ana roho mbaya akiwa huko nje tena sana, kwanza ukiwa una hela wanakufuata na zikiisha wanakukimbia na kukuibia hahaha shikamoo ngozi nyeusi. Wamarekan akija kwangu naongea kisandawi hadi watabroo
Hamna , similiki ID hiyo na Mimi toka kitambo nimekuwa kama mwanzilishi wa avatar hiyo labda yeye amekuwa inspired na kuamua kuiweka.
Sasa wakenya ndo wanachomana balaa hizi lawama zilianzia na wakenyaHiyo sio kumuokoa, ila ni kumkomoa., jamaa alichoandika ni sahihi sana, Wabongo waliopo Nchi za watu wamekuwa na mambo ya hovyo sana, kuna kipindi jamaa yangu aliwahi kunichoma kwa watu wa Uhamiaji, Wakenya sikuona hizo mambo kwao, ila Wabongo mpka kesho wanafanya huo ujinga.
Haraka sana umekuja kukanusha 😁Hamna , similiki ID hiyo na Mimi toka kitambo nimekuwa kama mwanzilishi wa avatar hiyo labda yeye amekuwa inspired na kuamua kuiweka.
Waafrica bana....warudi kwao waache kukaa kwenye nchi za watu kinyemela.Mtu mweusi ana roho mbaya sana.
Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.
Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.
Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.
Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.
Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.
Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.
Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.
Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.
Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.
Mungu ingilia kati!
My take
Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.
View attachment 3233106
Nyau de adriz
Swala la kujificha kwenye kichaka Cha ID nyingine toka kitambo siliafiki naona kama ni uoga na udhaifu .Haraka sana umekuja kukanusha 😁
Utakuta na yeye kujipodoa huko aonekane msomaliHuyu kwenye video nauhakika ni mchongeaji kwasababu ana makaratasi kwasababu anavyochekelea na furaha anavyoitangaza hii habari.
RRONDO Extrovert mshamba_hachekwi min -me Black Sniper Nifah Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Hahaha Haadiga 😅🤣😆Utakuta na yeye kujipodoa huko aonekane msomali
Akifuatiliwa nae eti ni Wariya
Wafiche aibu zao
Watu wanatafuta maisha kwa kila njia
Waapii maarass wewe. Feli mtihani hukoHamna , similiki ID hiyo na Mimi toka kitambo nimekuwa kama mwanzilishi wa avatar hiyo labda yeye amekuwa inspired na kuamua kuiweka.
🤣🤣🤣Nimemchongea mange kimambi nasubiri muamala
Mimi woga wangu mkubwa maishani ni kufa Kaafiri namuomba Allaah anipe mwisho mwema , AamiynWaapii maarass wewe. Feli mtihani huko
Zawadi ziko wapi sasa? 😹Super woman happy valentines 😊😁
HUMUWEZI MANGE...Nimemchongea mange kimambi nasubiri muamala
Hapana 😄 🤣 😂Hahaha Haadiga 😅🤣😆
Wewe muhasibu level zako mwisho hapo msimbazi dukani kwa lampard na sandaland huna info zozote..Wanataka data gani, nina wawili nipate hiyo 4m
Siwezi kumpa zawadi mwanamke ambaye simkojolei 😀Zawadi ziko wapi sasa? 😹
Mbona tunawishiana kavukavu dogo P?
Ghayo The Mongo Barbarian una mikwala we bwege.Kuna uzi nauandaa wa kutembeza mkono kwa hawa maafisa wa uhamiaji. Ngoja nimalize kupiga box hapa kwanza. Nitauleta mida ya jioni. Nitakutag kaa standby.
PSL god Chaliifrancisco hydroxo
Nyau de adriz