Nashawishika kuamini huyo anafanya vile hili kuwafurahisha wanachama na wafuasi wa chama chake(Conservative party) mind you moja ya ideologies za Conservatives duniani kote huwa ni kuwa anti-immigrants na ndio maana utakuta wanaongelea yale yale tu kama kusecure boarders, kuondoa wahamiaji haramu, kuweka mazingira magumu kupata uraia kwa wageni... wanafanya hivyo wakiamini ndio hatu ya kwanza ya kupreserve national interests.Huyu mtu mweusi kapewa Uenyekiti wa Chama cha Conservative, kachukuwa nafasi ya yule Rishi Sunak alokuwa Waziri Mkuu, sasa hayo ndio maazimio alokuja nayo.
Wakati yeye mwenyewe ni mkimbizi katokea Nigeria ila sasa karamba asali anaweka sheria ngumu kwa wahamiaji wenzake yule Baniani yeye alipopata tu ile fursa ya Uwaziri Mkuu basi aliingiza Wahindi wenzake wasiopungua millioni 3 katika kipindi chake.
Ukimwangalia body language huyu Olukemi Olufunto Adekoge Badenoch utaona kabisa hata nafsi yake inamsuta... hayo maneno anayosema yeye mwenyewe tu hayafurahii, ila inamlazimu kufanya hivyo.