Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Ukimripoti mtu uhamiaji Marekani ambaye hana makaratasi unalipwa usd 750. Wakenya na Watanzania wanachongeana balaa

Ndio maana nikiendaga ulaya na china sichekagi na mtanzania, ana roho mbaya akiwa huko nje tena sana, kwanza ukiwa una hela wanakufuata na zikiisha wanakukimbia na kukuibia hahaha shikamoo ngozi nyeusi. Wamarekan akija kwangu naongea kisandawi hadi watabroo
Kujifanya huongei Kiingereza si dawa. Utapelekwa detention Centre, utasota kule mpaka mwenyewe utasema kwenu ni wapi. After all kule immigration detention Centre kuna huduma ya ukalimani almost lugha kuu zote za dunia.
 
Hiyo sio kumuokoa, ila ni kumkomoa., jamaa alichoandika ni sahihi sana, Wabongo waliopo Nchi za watu wamekuwa na mambo ya hovyo sana, kuna kipindi jamaa yangu aliwahi kunichoma kwa watu wa Uhamiaji, Wakenya sikuona hizo mambo kwao, ila Wabongo mpka kesho wanafanya huo ujinga.
Sasa wakenya ndo wanachomana balaa hizi lawama zilianzia na wakenya
 
Mtu mweusi ana roho mbaya sana.

Wakenya na wabongo wanawachongea wenzio ambao wanaishi sasa hivi kwa kujificha kwasababu hawana vibali vinavyowataka waishi Marekani baada ya Serikali ya Trump kutoa agizo wote wakamatwe na warudishwe.

Licha ya zoezi hilo pia kuna dau la dollar 750 ukimripoti mhamiaji yoyote haramu.

Kutokana na hilo watu wanachongeana sana.

Rafiki yangu ambaye yuko Texas amenithibitishia tabia hii ya roho mbaya na ya kichwani ipo sana kwa wakenya na wabongo hata kabla ya Trump kuingia madarakani majuzi.

Ni vigumu kukuta jamii ya mexico huko wanawachongea wenzao warudishwe.

Hali ya hofu na sintofaham ya ndugu zetu ambao makaratasi yao yana mushkel imetanda sana.

Wanaishi maisha ya hofu na huzuni kwa kujifungia na kujificha ambapo inawawia vigumu kupata mahitaji ya kila siku kwasababu hawaendi kazini na kukosa vipato vya kuwasaidia katika maisha ya kila siku.

Niggers wengine Bongo kama chawi Webabu tumesoma humu wakiomba na kusheherekea wapambanaji mtoni warudishwe. Sasa wakirudishwa sukari itashuka bei ama mafuta ya kula au petrol? Roho ya kichawi kabisa.

Tuwaombeeni ndugu zetu na Mungu awatangulie.

Mungu ingilia kati!

My take

Jamii ya wa wasomali marekani wanawasaidia wenzao ambao hawana makaratasi. Hadi mmbunge msomali ilhan Omar amewapa maelekezo undapo wakikamatwa jinsi ya kufanya wasizungumze chochote. Kwasababu hawana haki yakukuuliza information zako. Wasomali wanasaidiana sana kwenye shida.

View attachment 3233106

Nyau de adriz
Waafrica bana....warudi kwao waache kukaa kwenye nchi za watu kinyemela.
Safi sana wacha wachongeane tuu maana hao ninwezi tuu kama wezi wengine
 
Haraka sana umekuja kukanusha 😁
Swala la kujificha kwenye kichaka Cha ID nyingine toka kitambo siliafiki naona kama ni uoga na udhaifu .

Halafu swala la kufanana avatar kawaida haswa ikiwa ya mtu maarufu ndio maana humu Wenye avatar za Messi , Malcom X, Che Guevara na wengineo wapo watu wengi wakiweka mtu mmoja.

Kazi yangu kubainisha ukweli Kukubali au kukataa mtu ana chaguo lake .
 
Ukimchongea mtu na kupata hako kadola, katakusaidia nini? Sawa natangulia nyumbani ila siku ukija tutaongea.
 
Back
Top Bottom