Ukimsikiliza Kagame vizuri kuhusu Mapinduzi Afrika, ni kama alikuwa anaongea na JWTZ

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kila mtu anashangaaa.

Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.

Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.

Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo wanaompinga.

Ukimsikiliza Kagame juzi alisema Viongozi wakiwa wa hovyo hashangai mapinduzi kuendelea kutokea Afrika. Ule ulikuwa ujumbe wa moja kwa moja kqa JWTZ kuwa chukueni hatua.
 
bongo tuna wavaa vijora hamna jeshi
 
Ukweli JWTZ walijitahidi sana ila sema wauaji hawakuwa polisi wetu ni wageni na ndiyo maana ikaandaliwa maandamano mengine ili kutumiza adhima na wale mamluki hawawezi ingia now maana wamethibitiwa. Walikuwa wanatokea Uganda
 
CCM haina maisha marefu kushika dola, maana inatumia mbinu zile zile za mika 1990s, kuitawala Tanzania leo hii…ndo maana inafungia mitandao ovyo, kumwaga damu…CCM ishakufa, ni mwendo wa kutumia mtutu tu
siku zao zinahesabika ni swala la muda tu...mwisho wao umewadia
 
Kila mtu anashangaaa.

Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.

Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.

Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo wanaompinga.

Ukimsikiliza Kagame juzi alisema Viongozi wakiwa wa hovyo hashangai mapinduzi kuendelea kutokea Afrika. Ule ulikuwa ujumbe wa moja kwa moja kqa JWTZ kuwa chukueni hatua.
IMG_6957.jpeg
 
Jeshi liko upande wetu kapten tesha kasema ole wake polisi atakaegusa raia na nchi tunaichukua saa mbili asubuhi
 
CCM haina maisha marefu kushika dola, maana inatumia mbinu zile zile za mika 1990s, kuitawala Tanzania leo hii…ndo maana inafungia mitandao ovyo, kumwaga damu…CCM ishakufa, ni mwendo wa kutumia mtutu tu
Mwisho Desemba 9. Wakipumua siku hiyo basi mwisho ni Januari 2026
 
Ukweli JWTZ walijitahidi sana ila sema wauaji hawakuwa polisi wetu ni wageni na ndiyo maana ikaandaliwa maandamano mengine ili kutumiza adhima na wale mamluki hawawezi ingia now maana wamethibitiwa. Walikuwa wanatokea Uganda
Mmepenyeza hizo mada za wauaji kutoka Uganda ili muepuke uwajibikaji. Kina Mange na wengine bila kufikiri wakalichukua hilo kichwa kichwa na ndiyo mnaendelea nalo ili ionekane wahusika hawapo nchini.
 
Back
Top Bottom