Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
bongo tuna wavaa vijora hamna jeshiKila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo wanaompinga.
Ukimsikiliza Kagame juzi alisema Viongozi wakiwa wa hovyo hashangai mapinduzi kuendelea kutokea Afrika. Ule ulikuwa ujumbe wa moja kwa moja kqa JWTZ kuwa chukueni hatua.
Ukweli JWTZ walijitahidi sana ila sema wauaji hawakuwa polisi wetu ni wageni na ndiyo maana ikaandaliwa maandamano mengine ili kutumiza adhima na wale mamluki hawawezi ingia now maana wamethibitiwa. Walikuwa wanatokea UgandaKila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo wanaompinga.
Ukimsikiliza Kagame juzi alisema Viongozi wakiwa wa hovyo hashangai mapinduzi kuendelea kutokea Afrika. Ule ulikuwa ujumbe wa moja kwa moja kqa JWTZ kuwa chukueni hatua.
siku zao zinahesabika ni swala la muda tu...mwisho wao umewadiaCCM haina maisha marefu kushika dola, maana inatumia mbinu zile zile za mika 1990s, kuitawala Tanzania leo hii…ndo maana inafungia mitandao ovyo, kumwaga damu…CCM ishakufa, ni mwendo wa kutumia mtutu tu
Kila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo wanaompinga.
Ukimsikiliza Kagame juzi alisema Viongozi wakiwa wa hovyo hashangai mapinduzi kuendelea kutokea Afrika. Ule ulikuwa ujumbe wa moja kwa moja kqa JWTZ kuwa chukueni hatua.
Mwisho Desemba 9. Wakipumua siku hiyo basi mwisho ni Januari 2026CCM haina maisha marefu kushika dola, maana inatumia mbinu zile zile za mika 1990s, kuitawala Tanzania leo hii…ndo maana inafungia mitandao ovyo, kumwaga damu…CCM ishakufa, ni mwendo wa kutumia mtutu tu
Kama anawaambia mnasubiri nini?bongo tuna wavaa vijora hamna jeshi
Limekuwa Jeshi la kishenzi sana hivi sasaJwt wakishindwa Watasaidiwa nRwanda
Mmepenyeza hizo mada za wauaji kutoka Uganda ili muepuke uwajibikaji. Kina Mange na wengine bila kufikiri wakalichukua hilo kichwa kichwa na ndiyo mnaendelea nalo ili ionekane wahusika hawapo nchini.Ukweli JWTZ walijitahidi sana ila sema wauaji hawakuwa polisi wetu ni wageni na ndiyo maana ikaandaliwa maandamano mengine ili kutumiza adhima na wale mamluki hawawezi ingia now maana wamethibitiwa. Walikuwa wanatokea Uganda
Itaendelea series ya mapinduzi mpaka tutakaa sawa tuAcheni uchochezi, hao JWTZ uliambiwa ni Malaika? Wanaweza kuwa wabaya mara mia ya huyu,
Hao vijana ndo watu hatari kuliko wazeeNdiyo maana Kagame aliwatoa wazee woote jeshini, akabakiza vijana na wa umri wa kati.