Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Mbona Sultan amekwepa mdahalo na Lissu?
Ni aibu kubwa sana kwake ku-dialogue na Lissu. Wewe utakubali kufanya mdahalo na mtoto wa chekechea, eti mnajadili kuhusu uchumi wa nchi wewe wewe ni proponent na mtoto ni opponent, kweli, si aibu tupu?!
 
Ila nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.

Hili limenifikirisha sana
Si unalopia broooo, sio hivyo nenda hapo jo mnambisha bil usd kama hautaongea siku zika, usicheze na shekeli. La pili unaijua mawingu? Ni cover ya qatafuta maua
 
Ila nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.

Hili limenifikirisha sana
Umeshindwa kuelewa jambo la msingi, uchaguzi huu ni mkubwa sana hivyo kila mgombea anasikilizwa kwa ukaribu na umakini.
Hili sio suala la Mbowe bali uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema.
 
Ila nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.

Hili limenifikirisha sana
Umenikumbusha hadithi ya Punda na YESU wakiingia jijini na kupokelewa na umati mkubwa wa watu wakimshangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…