ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Lissu Anahojiwa na media kubwa kama BBC, DW, Al Jazeera n. KIla nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.
Hili limenifikirisha sana