SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nyumbu wa Sultan Mbowe mnamkweza sana huyo kilaza wenu.Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Ndio kwanza Mbowe kakomaa kisiasa haiwezekani kamwe eti aachie kiti, ni kosa kubwa!
Yaani wewe kabisa umfananishe akili kubwa Lissu na huyu Mbowe kichwa maji!!!Lissu hada mriririko wa maongezi wala composure, hana diplomacy na weledi wa kisiasa. Akiwa rais leo ni kama Magufuli tu.
Yaani CCM kujiingiza wazi wazi kwenye huu mtanange kumsaidia Sultan Mbowe ndiyo wamemharibia kabisa kwa wajumbe kwani kumchagua Mbowe ni kuiingiza CCM ndani ya Chadema kwa mlango wa nyuma,hawa ndiyo wamemmaliza kabisa japo nia yao kwa dhati ilikuwa kumsaidia.
Kweli kabisaFreeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Wachumba wa Mbowe wana mahaba yaliyopitilizaYaani wewe kabisa umfananishe akili kubwa Lissu na huyu Mbowe kichwa maji!!!
Yaani CCM kujiingiza wazi wazi kwenye huu mtanange kumsaidia Sultan Mbowe ndiyo wamemharibia kabisa kwa wajumbe kwani kumchagua Mbowe ni kuiingiza CCM ndani ya Chadema kwa mlango wa nyuma,hawa ndiyo wamemmaliza kabisa japo nia yao kwa dhati ilikuwa kumsaidia.
Hata Mugabe alikuwa na nguvu sana, angeondoka kwa wema,angepata Heshima kubwa kama MandelaIla nilichokiona leo ni kuwa Mbowe ana nguvu sana embu fikiria mtu anavunja kipindi kizima cha michezo cha dakika 60 tena cha media kama clouds.
Hili limenifikirisha sana
Kavaa pekosi
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Naelewa Mkuu ila hivi bado hujaiona hiyo nguvu kiongozi?, wakamuuliza tunakwenda online ili kupisha kipindi na yeye akawajibu nina saa moja tu, wakamshukuru. WHY?, hii sijawahi kuona kwa Clouds.Wala sio nguvu, sema pesa. Hata wewe unaweza fanya, unapigiwa tu gharama ya kipindi unalipa, ile ni biashara mzee sio kipindi kama kipindi in the first place
Hafai kuwa hata baloziiii,LISU NI JEMBE UNAMFANANISHA NA KUWADI LILILOCHUKUA HELA CCM ILI KUIA CHADEMAFreeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Pesa mkuu pesaaaa ndio kila kituNaelewa Mkuu ila hivi bado hujaiona hiyo nguvu kiongozi?, wakamuuliza tunakwenda online ili kupisha kipindi na yeye akawajibu nina saa moja tu, wakamshukuru. WHY?, hii sijawahi kuona kwa Clouds.
Anyway niishie hapo tu.
Ni ujinga kufikiri Mbowe anafanya hivyo CDM imemgharimu Mbowe mali zake zote.Hafai kuwa hata baloziiii,LISU NI JEMBE UNAMFANANISHA NA KUWADI LILILOCHUKUA HELA CCM ILI KUIA CHADEMA
Atabaki na chadema yake iliyopo kwa msajiri, huku mtaani atasahauNdio kwanza Mbowe kakomaa kisiasa haiwezekani kamwe eti aachie kiti, ni kosa kubwa!
Mbowe ana siasa za kikagame, Yaani dahLissu ana siasa za wapiga debe wa stendi
Haiwezi kufa itadhoofu tuLabda kama mnapenda CDM ife.