Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Bila shaka unajua, ninyi na wenzenu wa damu kina chiembe kawashika pabaya.

Na Bado!
Yaani CCM kujiingiza wazi wazi kwenye huu mtanange kumsaidia Sultan Mbowe ndiyo wamemharibia kabisa kwa wajumbe kwani kumchagua Mbowe ni kuiingiza CCM ndani ya Chadema kwa mlango wa nyuma,hawa ndiyo wamemmaliza kabisa japo nia yao kwa dhati ilikuwa kumsaidia.
 
Huyo ni mwenzao wa kufa na kuzikana:

Gf8b-vhawAEan-I.jpeg
 
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4

Tatizo la Tanzania ya sasa inahitaji mwanaharakati sio mtu aliyo iva na upole upole tena. Chaguzi za Polisi na usalama ustaarabu hautaweza kusaidi hasa pale Raisi alipo mdanganya huyu mstaarabu Mbowe na kumletea haya matatizo yote. Mama Samia ajui kama yeye ndiye kawatengeneza zaidi Lissu na Heche!
 
Wala sio nguvu, sema pesa. Hata wewe unaweza fanya, unapigiwa tu gharama ya kipindi unalipa, ile ni biashara mzee sio kipindi kama kipindi in the first place
Naelewa Mkuu ila hivi bado hujaiona hiyo nguvu kiongozi?, wakamuuliza tunakwenda online ili kupisha kipindi na yeye akawajibu nina saa moja tu, wakamshukuru. WHY?, hii sijawahi kuona kwa Clouds.

Anyway niishie hapo tu.
 
Pesa mkuu pesaaaa ndio kila kitu
 
Hafai kuwa hata baloziiii,LISU NI JEMBE UNAMFANANISHA NA KUWADI LILILOCHUKUA HELA CCM ILI KUIA CHADEMA
Ni ujinga kufikiri Mbowe anafanya hivyo CDM imemgharimu Mbowe mali zake zote.
 
Swala hapa ni kuchokwa mzee huwezi kula nyama kila siku hata kama ni tamu! Inakinai! Mbowe ni mzuri sawa ila tumemchoka! Hata kama sio lissu sawa aletwe mwingine basi
 
Back
Top Bottom