Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Ukimsikiliza Mbowe utagundua kuwa sio mtu wa kuwekwa kwenye mizani moja na akina Lissu

Hafai kuwa hata baloziiii,LISU NI JEMBE UNAMFANANISHA NA KUWADI LILILOCHUKUA HELA CCM ILI KUIA CHADEMA
Mimi nikimuona mbowe na lissu siwezi fananisha kwa kweli, lissu ni akili kubwa, mbowe ni mjanjamjanja tu wa mjini
 
Taabu CV ndugu.

Bila mapendeleo mkono mtupu ulambwe vipi?

Lissu 3, Mwamba 0!

Kama bado hamuamini, mmshauri atokee kwenye mdahalo.
Lissu atatupotezea muda tu kwa kurudia rudia maneno. Hawezi kushindana na mwamba wa siasa za Tanzania
 
Back
Top Bottom