Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Sema usiogope chochote boss.Hahah naogopa kumuingiza jamaa wa jf pabaya kwa maoni yangu
Nchi imeharibika kabisa hii!!Hivyo vyombo vya ulinzi na usalama ndio vimejaza majizi. Ndio maana wanasiasa majizi wa ccm wanatamba.
Vyombo vya ulinzi na usalama vinamlinda RAIS.Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Tutafika mbinguni tumechoka sana !Inasikitisha sana kiukweli ila tutafika tu
Kuna mahali nimesoma humu kuwa helkopta za CCM za uchaguzi ni mali ya jeshi -JWTZYaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Anayeweza kumsikiliza huyo nguchiro ni mwendawazimu km weweYaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Hizo hasira ni ushahidii dawa imeingia kisawasawa.Anayeweza kumsikiliza huyo nguchiro ni mwendawazimu km wewe
Kwani wewe na akili zako timamu (kama unazo lakini) unaamini porojo za Polepole?Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.