Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Magufuli alipokuwa analalama anachomekewa alikuwa anamaanisha nini? Kwamba wanaomchomekea hana ubavu wa kudeal nao..sivyo?
 
Magufuli alipokuwa analalama anachomekewa alikuwa anamaanisha nini? Kwamba wanaomchomekea hana ubavu wa kudeal nao..sivyo?
WAliokuwa wanamchomkea si katika niliowaandika.

Niambie rost tamu ni cheo gani idarani au takokuru??
 
..unaposema hakuna mtu au taasisi inaweza kumbishia rais una maana gn, ndio maana nimekupa huo mfano wa rais kulalamika anachomekewa..
 
Ni kweli haipo.
Mkuu wa majeshi ukibisha anakutumbua anatafutwa Luteni General mmoja anapewa ugenerali wewe unaachwa ukalime viazi
 
Kusema kwamba tumuachie Mungu sasa au ?
tusimwachie Mungu, ila ni vizuri kujua nguvu alizonazo adui, ili kupanga mapigo matakatifu

“If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle.”​

― Sun Tzu, The Art of War
 
Hamna vyombo vya ulinzi ,bunge wala mahakama nchi hii bali kuna kundi la vibakà wanaotumika kwa maslahi ya wahuni ndani ya CCM
 
Hili ni shamba la bibi kila mtu anakula kwenye kitengo chake
 
hata mimi nikipata acess ya shamba la ki-bibi TZ kama akina Abdul, nitachota ma Bi ,na ma Bi ya USD, I must be honest, sidhani kama atatokea mzalendo zaidi ya JKN, wengi walalamikaji ni kwa sababu hatuja pata hiyo access ya , uzalendo unakuwepo unapokuwa huna kitu 😛
 
Ni kweli haipo.
Mkuu wa majeshi ukibisha anakutumbua anatafutwa Luteni General mmoja anapewa ugenerali wewe unaachwa ukalime viazi
Tena siku hizi kwa sababu baadhi ya vyeo vya juu vina kinga,unawezakuwa na jeuri,wanachofanya wanamark kizazi chako tu,hao watoto hakuna kazi watapewa,wakifungu biashara ni mizengwe na figisu,hakuna connection watapewa.
 
s
Yuko vizuri sana. Nafikiri kufanya na Magu pia ilimwongezea maarifa zaidi. Ila ni mtu anayependa kujifunza pia.
asa mzee mpaka anex anaijua wakat sisi wala tulikua hatuijui.na kins navomuona ni john kisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…