Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa


umesahau hadi polisi kwake ni takataka
 
Mtu anaye jivunia elimu yake wew unateseka nn nyumbu wew
 
Wewe unasumbuliwa na mambo mawili, kwanza hutaki kuujua ukweli kuhusu Tanzania kupitia kusoma na kujielimisha na pili ukiambiwa ukweli na wanaojua pia hutaki. Lissu ni mtu anayesoma na kufuatilia mambo ya nchi hii sana na hivyo anayafahamu kweli kweli, ndiyo maana majuzi kule visiwani alitoa darasa tosha na hakuna hata mmoja aliyemzomea au kumpinga. Mwisho wewe pia umezoea kudanganywa sanaa.
 

Akili ndogo ya Lumumba huwezi kumuelewa TL tulia dawa iwaingie.
 
Ile shule ya Tundu Lissu kule zanzibar hakuna hata mmoja anaweza kukosoa kama hataki kuumbuka. Iko deep sana. Nilikuwa sijui kama tanganyika tulipata uhuru mwaka 1958.
 
Huu ni moja kati ya uzi mbovu kabisa kuusoma.

Lumumba punguzeni ujinga

Hata kama mna masilahi hamuyatendei haki mnaandika madudu sana

Fikicha akili
Wametumwa na Bashiru waje kupambana na watanzania wenye hoja. Lakini kama hawa ndio UVCCM kazi ipo. Wanamwaibisha katibu mkuu Ally Bashiru kwa kuja kutoa utetezi wa hovyo.
 
Kwa wataalamu wa physcology na physchiatry watakuambia ana ugonjwa unaoitwa GRANDIOSITY.
 
UHURU , HAKI NA KAZI

Mradi wa Bomba la Mafuta Wapigiwa Kelele Kwa Kuleta Athari Za Kiuchumi na Kijamii

Uhuru, Haki ndiyo msingi mambo yote, mradi wa bomba la mafuta wapigiwa kelele na kundi la Haki za Binadamu kwa wananchi wanaomiliki ardhi na mali zingine linapopita mradi wa bomba la mafuta toka Uganda mpaka bandari ya Tanga kutolipwa fidia stahiki.

Hii ni baada ya familia zaidi ya 12,000 kulazimishwa kuondoka ktk ardhi za makazi, kilimo na mali zao zingine. Serikali zalaumiwa kwa kutotambua uhuru na haki za msingi za wananchi hao wakati wa kupisha mradi huo upite katika maeneo yao.

11 September 2020

KAMPALA, Uganda

French oil firm displaced 12,000 in Uganda, Tanzania

‘There is need to assist the people with land where the pipelines are going to be constructed,’ says human rights group

Two research reports on oil released Thursday highlight major risks of oil projects by French energy company Total in Uganda and Tanzania.

Oil from Uganda is to be pumped through pipelines to Tanzania’s Port of Dar es Salaam. But many residents on land through which the pipes are planned to pass have been affected.

At least 12,000 families in Tanzania and Uganda have lost land, according to the reports. There is also endangerment of sensitive and vital ecosystems.
Read more:
Source : French oil firm displaced 12,000 in Uganda, Tanzania
 
Basisiii
 
Tarime, Mara
Tanzania

TUNDU LISSU AKUTANA NA WAZEE WALIOWAI KUFUNGWA MIAKA 30
 
1 Jun 2017
Dar es Salaam, Tanzania

Wananchi Kimara DSM waburuzwa wavunje nyumba kupisha barabara

TANROADS yawapa wananchi notisi ya siku 30 bila fidia. Wananchi waishtaki Serikali mahakama ya ardhi. Vikongwe waongea ya moyoni. Rais Magufuli aombwa kuingilia sakata hili.
 
Mtwara, Tanzania

7 Oct 2016
OPERESHENI TOKOMEZA KANGOMBA
Timu ya kupambana na ununuzi wa zao la korosho kwa mfumo mbovu wa kangomba yafanikiwa kukamata zaidi ya kilo 600 na kuzitaifisha.
 
Tired of nasty posts!
 

Unayemwongelea ni huyu mliyepanga kumdhulumu roho yake kwa risasi zaidi ya 36 mchana kweupe?

Huyu mnayefanya kila kitu kumzuia asisikike kwa sababu Watanzania wataona hafai?

Huyu huyu mnayepanga kumwibia kura kwa maana asivyofaa watanzania walio wengi wanampenda mno?

Ni huyu huyu ambaye mamlaka zenu zote zimejipanga kumtendea ndivyo sivyo?

Ya kuwa nyie na jiwe ndiyo wa maana zaidi kuliko yeye kwa mema miliyowafanyia wengine wakiwamo kina Azory, kina Ben achilia mbali kutupora uhuru na haki zetu?

You must be joking!

Kwa hakika yako ni maajabu ya Firauni!
 
Dk Salimin Amour amepigwa upofu na Mwenyezi Mungu kutokana na utawala wake wa kidhalimu, kuzuia haki za maelfu ya Wapemba kuishi. Ukimsikiliza jiwe na kufuatilia matendo yake, anaonekana kuifuata njia ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…