Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Shetani aliharibu kazi nzuri ya lissu
Wakati mwingine sisi wenyewe tunamkaribisha shetani. Lazima utambue kwamba bila taifa na watu wake wengine, wewe ni nothing. You must always be humble!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani aliharibu kazi nzuri ya lissu
Shetani humshawishi binadamu kwa kumwonyesha vitu vinavyovutia machoni lakini vina mwisho mbaya.Wakati mwingine sisi wenyewe tunamkaribisha shetani. Lazima utambue kwamba bila taifa na watu wake wengine, wewe ni nothing. You must always be humble!
Kwa kumsikiliza mwenyewe, ameshinda kesi nyingi sana lakini ukisema utaje inamaana uwe ulikuwa unahudhuria kesi zote alizokuwa anadeal nazo maana hata magazeti hayajawai kutangaza.Kamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Ni kweli ukisimamia kesi mbili ukashinda zote hiyo ni 1%% success, lakini wakili mwenye kuaminika kama huyo kesi alizosimamia ni za CHADEMA tu. Sisi tunajuwa mchezo wa hizo kesi. Alikuwa akilipwa mara tatu zaidi inavyotakiwa na badaye anatembeza mgao kwa viongozi wa juu wa chadema. Kama kesi gharama yake ni miliioni mbili. Yeye anaambiwa adai millioni sita, mbili zake, na nne za viongozi wa CHADEMA. Ndiyo maana wanadai maandamano, maana hiyo pesa haitakuwepo. Na yule DJ wa Billicanas ndiyo sasa kapatikana. Hata ya kulipa mshahara hazitakuwepo. Labda awakamue wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA ili apate kula yake.Ya uchaguzi wa Lema Arusha mjini na wa Bunda mjini kwa Ester Bulaya ..nikuongezee???
Ni kweli ukisimamia kesi mbili ukashinda zote hiyo ni 1%% success, lakini wakili mwenye kuaminika kama huyo kesi alizosimamia ni za CHADEMA tu. Sisi tunajuwa mchezo wa hizo kesi. Alikuwa akilipwa mara tatu zaidi inavyotakiwa na badaye anatembeza mgao kwa viongozi wa juu wa chadema. Kama kesi gharama yake ni miliioni mbili. Yeye anaambiwa adai millioni sita, mbili zake, na nne za viongozi wa CHADEMA. Ndiyo maana wanadai maandamano, maana hiyo pesa haitakuwepo. Na yule DJ wa Billicanas ndiyo sasa kapatikana. Hata ya kulipa mshahara hazitakuwepo. Labda awakamue wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA ili apate kula yake.
Na ndiyo maana kule kwao Singida wanasemaga kuwa mwendawazimu si lazima uvue nguo, ukiwa na dalili za Lissu tu basi watu wanaanza kukutilia mashaka. Kuanzia leo hii, Lissu hatochukua muda katika siasa.....namuona kabisa anateketea kama Maalim Seif, Zitto, na Membe.1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5: Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
Kesi 366 za wananchi wanyonge wa Nyamongo Tarime, waliokuwa wamebambikiziwa na siri-kali ya ccm kesi za uongo zisizo na dhamana na kuswekwa rumande, ili kulinda mabeberu wenye migodi ya dhahabuKamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Duh.. huyu naye utakuta Kuna mtu anamwita mama..!1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5: Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
100%1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.
2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu, mawakili n.k wote kwake ni mambumbumbu tu wasiojua kitu kwenye sheria.
3: Yeye ndio msomi peke yake Tanzania nzima, walio baki wote ni vilaza kuanzia walimu wake walio mfundisha hadi viongozi wenzake alio nao chamani. Kwakifupi kwamba yeye ndio msomi pekee hapa Tanzania na ana fani na taaluma zote kabisa hajakosa hata moja.
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.
5: Ni mtu aliye tayari kutetea na kuunga mkono chochote ili mladi tu kinaisema vibaya Tanzania.
Yaani chochote kile kinachoweza kutumika kushambulia Tanzania na viongozi wake yupo tayari kukiunga mkono mladi tu kinampa faida kisiasa.
Hayo ni maoni yangu sio lazima yafanane na yako.
Lisu si chochote wewe angalia hata kampeni nini cha maana alichoahidi? Hana vision yoyote. Shida Chadema hawajielewi na huwa wanaona wao wajanja, wamesoma na viongozi wao ni wajanja. Mimi siamini kama wote ni wajinga kama Lisu isipokuwa ni kujitoa ufahamu tu. Good luck na genge lenu la lakihuni.Vilaza wote utawjua tu. Hawawezi kumwelewa Lissu.
Akina Lusinde na akina Msukuma wao walishajua fungu lao. Huwezi kuwasikia wanamkosoa Lissu.
Kama alivyotuonya tuache kuifatilia mikataba ya madini yetu.1.kweli kabisa Tangu uhuru hatunafanya kitu chochote maadui wetu waliotangazwa 58 wotewanazidi kuongezeka kwa kasi.
Umasikini unakua sana.
Ujinga usiseme.
Magonjwa ndio kwao maralia kipindupindu typhod nk.
2.Hakika Lissu anajua sheria kuliko watu wote Tanzania amefanya kazi na mashirika makubwa na Taasisi za level ya kidunia.
Ameshinda kesi nyingi sana more than 98%
3. Lissu ni Msomi na mbobezi mkubwa sana wa masuala ya sheria na Ishu zote mtambuka
4. Hakuna jambo wala sekta Yoyote tunayoweza kujivunia, wala hakuna taasisi yoyote tunayoweza kusema imefanya vizuri kwa miaka 60 sasa woote waliharibu sana.
Na marais wengi wa Tanzania sio wanaochaguliwa na wananchi kwenye Kura.
5. Mi nimemuona akiomba mijadala ya kitaifa akishauri na kuonya mambo mengi ya kitaifa.
Ni mtazamo wangu.
Pumbavu kabisa wewe1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu.