Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

Mini naomba nikujibu moja tu la Tanzania haijafanya kitu nikweli kabisa Tanzania haijafanya kitu kwani kila uchaguzi uwemdogo aumkuu kwa nchi nzima amna ahadi zingine ni
Elimu
Maji
Afya
Umeme
Barabara
Sijawahi kusikia vimekamilika tunazunguka mbuyu kwamwendo wachini zaidi yakinyonga
 
Kama ni kweli,ni kwanini hamtaki hotuba zake ziwafikie wananchi kwa njia ya video,redio na magazeti?

Ni kwa nini tukio la kushambuliwa kwake limekuwa na ugumu wa kuchunguzwa na kutolewa ripoti na polisi?

Nina maswali mengi,kwanza ni jibu hayo mawili
 
4: Tanzania haikuwahi kuwa na kiongozi bora tangu Uhuru kuanzia baba wa Taifa ( ambaye kwake ni muuaji na ni mkolini aliye kalia Zanzibar kimabavu) hadi hawa viongozi wa sasa. Yaani ngazi zote kuanzia Marais wote hadi Wajumbe wa nyumba kumi wato kwake yeye ni takataka.


Inawezekana kuna ukweli hapa haiwezekani nchi huru miaka zaidi ya 55 kampeni zote tunaimba ahadi zile zile bila kua na sera muhimu...kila awamu inasema barabara,maji ,barabara ,maji wakati nchi ina maji kila kona,madini kibao,misitu nk hivyo tawala zilizopita hazikufikiri vizuri maana nchi yetu inahitaji sera ya utekelezaji na sio ahadi moja moja kwani ukisema nitajenga barabara ni upuuzi maana hiyo ni kazi ya serikali na ni wajibu wake sio kuja kunadi kwa wananchi minor ishu kama hizo.
 
Lissu anawaeleza watanzania ukweli mchungu na ambao msingependa watu waelezwe.

Ukatili,dhuluma, uonevu na unyanyasaji ndio sifa kuu za awamu hii na ambazo Lissu anazilaani majukwaani huku wananchi wanamshangilia.

Tulieni muelezwe ukweli.
Wewe ni kijana mdogo sana katika ustawi wa Tanzania, acha kukariri historia ya kwenye vitabu.
 
No sense
 
Unataka aache kujifunza nakuelimika ili awe mbumbumbu kama wewe.Hakuna kushikiana akili dunia ya sasa.Mambo mengi yako wazi nikiasi cha mtu kuamua kuamsha kichwa nakuelewa sio kusubiri mtu mwingine afikiri kwa niaba.
Wewe ni kijana mdogo sana katika ustawi wa Tanzania, acha kukariri historia ya kwenye vitabu.
 
Usisahau kuwa ana hulka ya chuki kwa yeyote anayetofautiana nae kimawazo, kifikra na falsafa..eg zito, dr silaa, magufuli, alimchukia sana kikwete na wengineo.
 
Hujamuelewa Lissu. Lissu sio mwana ccm, Lissu sio mwoga, Lissu sio mnafiki.
 
Usisahau kuwa ana hulka ya chuki kwa yeyote anayetofautiana nae kimawazo, kifikra na falsafa..eg zito, dr silaa, magufuli, alimchukia sana kikwete na wengineo.
Hii nayo pia ni moja ya sifa yake muhimu.
 
Wewe unasoma na kufuatilia mambo ya nchi hii ?
 
Lissu anawaeleza watanzania ukweli mchungu na ambao msingependa watu waelezwe.

Ukatili,dhuluma, uonevu na unyanyasaji ndio sifa kuu za awamu hii na ambazo Lissu anazilaani majukwaani huku wananchi wanamshangilia.

Tulieni muelezwe ukweli.
Ukweli kuwa Nyerere alikalia Zanzibar ki mabavu?
 
Ana kauli yake ya kuita ccm kuwa maccm..wakati hata huyo mbowe aliyemfundisha siasa hajawahi kuita wanaccm maccm.
Hilo nalo ni tatizo lingine kubwa la kutukana ovyo
 
Ukiwa na upeo mdogo wa kufikiria mambo huwezi kumuelewa kabisa TAL, Na utakua unayabeba maneno yake bila kuchakata ubongo kama alivyo mtoa post.
Kipimo Cha upeo mkubwa wa kufikiri ni kukubaliana tu na Lissu kwa kila akisemacho?
Ukifikiri kinyume na yeye tu tayari unakuwa na upeo mdogo wa kufikiri?
 
Lisu ni mwanasheria wa kawaida Sana , huko kwenye korido za mahakama ila akiwa Chadema anawadanganya yeye ndio bora.

Kuna manguli wa sheria wametulia na wanafahamika ila sio Lisu.

Utofauti wake ni kuwa anapenda Sana Umaarufu na anatumia siasa na hasa anamtumia Magufuli kujiongezea umaarufu.

Muda wa Magufuli ukipita Lisu hatakuwa na mtu mwingine wa kumsema kama anavyofanya sasa.
 
CCM imejibu hoja nyingi za Lissu japo kisiasa na kuungaunga lakini ile ya Zanzibar hakuna aliyejibu wanaogopa kuchokoza moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…