Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

Wakati mwingine sisi wenyewe tunamkaribisha shetani. Lazima utambue kwamba bila taifa na watu wake wengine, wewe ni nothing. You must always be humble!
Shetani humshawishi binadamu kwa kumwonyesha vitu vinavyovutia machoni lakini vina mwisho mbaya.
Mungu ni mwenye demokrasia, ameacha wanadamu tuchague kila mtu na uelekeo wake lakini akiwa ameshatujulisha vema mwisho wa kila uelekeo tutakaouchagua.
 
Kamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Kwa kumsikiliza mwenyewe, ameshinda kesi nyingi sana lakini ukisema utaje inamaana uwe ulikuwa unahudhuria kesi zote alizokuwa anadeal nazo maana hata magazeti hayajawai kutangaza.
Lakini nadhani umeshaona kesi anazoshtakiwa yeye mwenyewe zilivyo nyingi na hakuna hata moja aliyoshindwa.
 
Kuna wakati Zitto aliishataki CHADEMA; Zitto aliwakilishwa na Albert Msendo, wakati CHADEMA ikawakilishwa na Lissu. CHADEMA ilibwagwa kwenye kesi ile.
 
Ya uchaguzi wa Lema Arusha mjini na wa Bunda mjini kwa Ester Bulaya ..nikuongezee???
Ni kweli ukisimamia kesi mbili ukashinda zote hiyo ni 1%% success, lakini wakili mwenye kuaminika kama huyo kesi alizosimamia ni za CHADEMA tu. Sisi tunajuwa mchezo wa hizo kesi. Alikuwa akilipwa mara tatu zaidi inavyotakiwa na badaye anatembeza mgao kwa viongozi wa juu wa chadema. Kama kesi gharama yake ni miliioni mbili. Yeye anaambiwa adai millioni sita, mbili zake, na nne za viongozi wa CHADEMA. Ndiyo maana wanadai maandamano, maana hiyo pesa haitakuwepo. Na yule DJ wa Billicanas ndiyo sasa kapatikana. Hata ya kulipa mshahara hazitakuwepo. Labda awakamue wabunge wa kuteuliwa wa CHADEMA ili apate kula yake.
 

Taking credit and assigning blame is another key trait.

Wakashinda kesi ni kwa sababu ya umahiri wao na wakishindwa ni kwa sababu mtu fulani kasababisha washindwe au “mahakama zetu hazina uhuru”!
 
Taking credit and assigning blame is another key trait.

Wakashinda kesi ni kwa sababu ya umahiri wao na wakishindwa ni kwa sababu mtu fulani kasababisha washindwe au “mahakama zetu hazina uhuru”!
Aisee
 
Mambo ya ajabu watu wasiojitambua wamechagua Raisi wa nchi na wanaojitambua hawajafanikiwa kumchagua mwenye kujitambua mwenzao.
 
Umemaliza mkuu, huyo M-belgiji ana vyote ulivyoongea tena kama hiyo aya ya mwisho
 
Na ndiyo maana kule kwao Singida wanasemaga kuwa mwendawazimu si lazima uvue nguo, ukiwa na dalili za Lissu tu basi watu wanaanza kukutilia mashaka. Kuanzia leo hii, Lissu hatochukua muda katika siasa.....namuona kabisa anateketea kama Maalim Seif, Zitto, na Membe.
 
Kamanda nitajie hata case mbili alizo shinda tundu lissu
Kesi 366 za wananchi wanyonge wa Nyamongo Tarime, waliokuwa wamebambikiziwa na siri-kali ya ccm kesi za uongo zisizo na dhamana na kuswekwa rumande, ili kulinda mabeberu wenye migodi ya dhahabu
 
Duh.. huyu naye utakuta Kuna mtu anamwita mama..!
 
100%
 
Vilaza wote utawjua tu. Hawawezi kumwelewa Lissu.

Akina Lusinde na akina Msukuma wao walishajua fungu lao. Huwezi kuwasikia wanamkosoa Lissu.
Lisu si chochote wewe angalia hata kampeni nini cha maana alichoahidi? Hana vision yoyote. Shida Chadema hawajielewi na huwa wanaona wao wajanja, wamesoma na viongozi wao ni wajanja. Mimi siamini kama wote ni wajinga kama Lisu isipokuwa ni kujitoa ufahamu tu. Good luck na genge lenu la lakihuni.
 
Kama alivyotuonya tuache kuifatilia mikataba ya madini yetu.


MAGUFULI4LIFE.
 
Pumbavu kabisa wewe
Kama mpinzani akikaa anasifia haina haja ya uwepo wake. Yeye angependa vitu vifanyike tofauti na vilivyofanyika
 
Anaudhubutu na ni mjenga hoja mzuri sana...

He has the wright information always and he knows where, how and when to use it...




Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…