Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

 
Hatuhitaji kubishana na huyu kichaa kwa sasa. Hakika ameonyesha ni mtu muongo wa chuki na mwenye mawazo yasiyofaa kabisa kwa maendeleo ya nchi yetu.

Hunizidi Mimi Mkuu,kanidissapoint sana. Sijui akili yake inawaza nini? Ile huruma niliyokuwa nayo imeondoka kabisa. Huyu kama ndiyo ana ndoto ya kuja kugombea ndiyo atawajua Watanzania vizuri. Wenzie kina Mbowe wamekaa kimya anadhani wao ni wajinga?
Niliwahi kusema hapa ili Kuna watu walidhani namchukia tu sasa wanajionea wenyewe
 
Tulia ww mwananchi maskini na mnyonge.
 
Tatizo la maCCM mengi ni kushindwa kutofautisha kati ya Serikali na Nchi.
Lissu anaisema Serikali ya CCM kwa kuongoza nchi hovyo bila kufuata misingi ya Sheria na Katiba, kushindwa kabisa kuheshimu haki za binadamu.

Lissu hajawahi kuisema Tanzania vibaya hata siku moja.

Serikali si nchi.
 
MaCCM ni kina nani?
 
Nishakujibu hoja yako kwamba Serikali si Nchi. Lissu hajawahi maishani mwake kuisema vibaya nchi yake Tanzania.
Katika maelezo yako hapo juu mwanzoni kabisa umetaja neno MaCCM, ndipo nami nikakuuliza hayo/hao MaCCM ndio wakina nani na ni watu gani katika nchi hii?
 
Umenena, sasa anaona aibu kwa aliyosema huko nje kuhusu Tz , ameshuhudia umati unavyomlilia kipenzi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…