johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Urio yupi huyu huyu clueless Lt. wa JWTZ??Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi...
Yafutwe!Kwa hiyo mashitaka yabadilishwe?
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi...
Kwa hiyo Mbowe, alitaka kuipindua Nchi hii, kwa kusaidiwa na huyo Urio?Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi...
Waliotengeneza movie ni mapopoma.Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi..
Tujuze wewe unayejua bwashee!Unaujua uhaini wewe? Au umeandika tu kwa sababu una bundle la saizi yako!
Najikuta nashikwa na hasira eti makomandoo 3 au 4 dhidi ya maelfu ya askari mahiri wa JWTZ na wengine ... Halafu dunia nzima iaminiKwa hiyo Mbowe, alitaka kuipindua Nchi hii, kwa kusaidiwa na huyo Urio?
Hivi, hata Mzee Mgaya anaamini hivyo? Ndugu zangu, tusiwe tunajiumiza vichwa kwa kuwaza mambo ambayo, hata nafsini mwetu hatuamini kuwa yanawezekana!
mimi sijaona uhaini bali ni mbambikizo ya kesiKama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
kwani kaishia form ngapi?Urio kapuyanga sana. Kasahau script aliuomezeshwa
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hayo Madai ya Urio atayathibitisha kwa ushahidi upi?Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jua kwamba kipindi urio anadai ni wakati nchi inaenda kwenye uchaguzi na chadema walisimamisha wagombea kila kona ya nchi.Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.