ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Mkuu wewe hujamsikiliza viziru urio, au labda ni umagiri wa mawakili wa utetezi.
Ukimsikiliza urio ktk cross examination yaani kwa sasa amekuwa mtetezi wa washitakiwa.
1. Kwanza hakuna sehemu ambayo ana ushahidi kuwa mbowe alipanga uhaini au huo ugaidi.
2. Zaidi ya maneno matupu hakuna ushaidi kuwa mbowe alitenda kosa.
3. Sasa juzi alionekana hata baada ya kukutana na wale jamaa pale morogoro kwa ela yake binafsi aliwapa chakula na usafiri wa kwenda Dar.
4. Shahidi uyu hana ushahidi wowote mpaka ameishia kujustify kuwa yeye ni mkweli ati anasema AKYAMUNGU.
Utoto na ujinga mtupu

Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!