Kama umewasikiliza kwa makini mashahidi wawili muhimu sana kwenye kesi ya Freeman Mbowe na makomandoo ambao ni Urio na Swilla utagundua makomandoo hawana makosa wala hawajatenda kosa lolote
Na hata Freeman Mbowe haonekani kama aliwatumia makomandoo kutaka kuvunja sheria za nchi zaidi ya kupatiwa ulinzi.
Tulipofikia ni pagumu sana kuamua Mbowe ana kesi ya kujibu kwa sababu connection kwa watuhumiwa wote wanne kuwa na mpango mmoja imeshindikana kujithibitisha.
Maendeleo hayana vyama.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
RIP wakili msomi Sengodo Mvungi PhD.