Ukimsikiliza vizuri Lt Urio hii kesi ya Mbowe ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Urio aliombwa kusaidia CHADEMA kutwaa madaraka Wananchi wasiteseke

Mkuu wewe hujamsikiliza viziru urio, au labda ni umagiri wa mawakili wa utetezi.
Ukimsikiliza urio ktk cross examination yaani kwa sasa amekuwa mtetezi wa washitakiwa.
1. Kwanza hakuna sehemu ambayo ana ushahidi kuwa mbowe alipanga uhaini au huo ugaidi.
2. Zaidi ya maneno matupu hakuna ushaidi kuwa mbowe alitenda kosa.
3. Sasa juzi alionekana hata baada ya kukutana na wale jamaa pale morogoro kwa ela yake binafsi aliwapa chakula na usafiri wa kwenda Dar.
4. Shahidi uyu hana ushahidi wowote mpaka ameishia kujustify kuwa yeye ni mkweli ati anasema AKYAMUNGU.
Utoto na ujinga mtupu
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.

Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.

Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Kwanza ktk simu na mawasiliano ya mbowe hakuna sehemu kataja kupindua nchi, kuua viongozi, kufanya nchi hisitawalike, kuzua tafrani.
Kwa jaji amabye ni mahiri leo hii angeisha ifukuza hii kesi kwan kinachoendelea ni ujinga tu.
Kwa hiyo Mbowe, alitaka kuipindua Nchi hii, kwa kusaidiwa na huyo Urio?

Hivi, hata Mzee Mgaya anaamini hivyo? Ndugu zangu, tusiwe tunajiumiza vichwa kwa kuwaza mambo ambayo, hata nafsini mwetu hatuamini kuwa yanawezekana!
 
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.

Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.

Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mbowe ndiye alijipendelea kujifungulia kesi ya ugaidi badala ya kesi ya uhaini?Nani aliyeandaa hati ya mashtaka na kupeleka kesi mahakamani?
CCM na serikali mnakwama wapi?
Sisi wapenda HAKI tunasema Mh Mbowe siyo gaidi na kesi yake ni ya kisiasa ili kuzima moto wa kudai Katiba mpya.
 
Urio anapigwa Spana kama mtoto mdogo alievaa pampasi ambae hajui la kufanya👇🤡🤡🤡
16432164329.jpg
 
Kwanza ktk simu na mawasiliano ya mbowe hakuna sehemu kataja kupindua nchi, kuua viongozi, kufanya nchi hisitawalike, kuzua tafrani.
Kwa jaji amabye ni mahiri leo hii angeisha ifukuza hii kesi kwan kinachoendelea ni ujinga tu.
Kama tungekuwa na mhimili imara wa mahakama kesi ilikuwa inaishia kwenye hatua ya Commital pale Kisutu mwezi July 2021.
Bali kwa Tanzania,wengi wa waliohusika kuifikisha hii kesi hapo ilipo wamepandishwa vyeo badala ya kuwajibishwa kwa uzembe huu.
 
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.

Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.

Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hakuna kesi ya uhaini wala ugaidi hapo unaongea nini???
Kunafact gani za uhaini hapo, embu onesha ushahidi mmoja wa uhaini??
Watu muwe conscious na mnachosema!!
 
Ule ni mchongo waliupanga vibaya hawakujua kuna watu makini kama Kibatala. Kutunga ushahidi ni kazi ngumu sana.

Kinachosemwa ni kutuma jaman hata rekodingi hawana. Ni maneno ya mdomoni, tutayaaminije kuwa hajao geza au kutunga.

Sis sio poyoyo
 
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.

Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.

Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwani huwezi kumfungulia Jalada JIpya pale LUMUMBA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.

Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.

Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Mwana-siasa kazi yake ni kuchochea fikra mpya vichwani mwa wananchi ili wamuunge mkono ktk juhudi zake za kuiangusha serikali iliyo madarakani kwa mujibu wa Katiba na Sheria!
Mbona ni Mwana-siasa!
 
Urio anapata intelligence informations kuwa Mh.Mbowe anataka kupindua nchi na urio (mwanajeshi wa TPDF)akiwa ni Lt.(officer)anakimbilia kwa DCI(Director of crime investigations)kutoa taarifa hii bila ya urio kupeleka kwa CO wake au MI!!hii kwangu ni kama igizo la tamthiria ,na middle class wa JF wanaona kabisa urio alikua yupo right kufanya alichokifanya!mimi ningekua ni Chief of Staff wa TPDF leo hii urio angekua ameshavuliwa cheo kile na angekua yupo mahakama ya kijeshi kujibia hili kwanza.
Inawezekana alifikisha taarifa huko kazini kwake. Yaliyopo nyuma ya pazia Public haiwezi kujua.
 
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.

Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.

Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka wananchi wasiendelee kuishi kwa mateso na unyonge.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Tumekusikia kingai
 
Back
Top Bottom