Ukimsikiliza vizuri Lt Urio hii kesi ya Mbowe ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi. Urio aliombwa kusaidia CHADEMA kutwaa madaraka Wananchi wasiteseke

Chifu Hangaya na Sirro wanajisikiaje kwa ushahidi huu uliowasilishwa mahakamani
WAO WANAONA SAWA PAMOJA NA UHARIBIFU WA PESA YA UMMA WALIOFANYA KUPITIA KESI HII YA KIPUMBAVU PUMBAVU, LENGO NI KUPIGA PESA ZA WANANCHI NA SIFA ZA MAIGIZO...ambapo mbele ya watanzania na dunia wameonekana ni wapumbavu na mishenzi shenzi tu
 
Hata nami nilifikiri hivyo kama kuna dalili za kushawishiana uasi kwanini tena iwe ya uhujumu au ugaidi? Tofauti ndogo sana na ya kina Maghee
 
Kama jaji akiamua kwa matakwa ya aliyemtuma basi dunia itamshangaa,
Hakuna mahali mbowe alimtuma mtu kufanya vitendo vya kigaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…