Ukweli usemwe,
Kuanzia katibu mkuu, Naibu, Mwenezi wanaweza kuwa walifanya vizuri kwenye siasa nyakati zao lakini kwa sasa hapana.
Historia inajirudia inanikumbusha Sekretarieti ya Katibu Mkuu Mzee Mkama na hii ya sasa wanafanana sana na hawana tofauti.
Hadi sasa CCM imeingia choo cha kanisani hapo upinzani wakijigawa na kujipanga vyema wanawasambaratisha hawa jamaa mapema sana.
Ukiwasikiliza siasa zao zimepitwa na wakati kabisa sijui itakuaje baadae lakini hapana