Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Eti mkiachana wote hawataki kukusikia, itakuwa una sifa hafifu sana na hutoshi kwenye timu hiyo..... ulicheza chini ya kiwango.

Kinyume chake unawala woooote.
 
Ndio ilivyo haswa kwa slay queens, principle no.1 usitongoze mwanamke anaekaa kama nyumbu kwa usalama wako. Bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani ujue umeisha
Actualy unakuwa umeshinda, not at that time but muda utakapo sogea such makundi huwa yanasambaratika halaf baada ya muda atashtuka nani alikuwa mjinga. By then ww unakuwa uko kwingine na maisha yako
 
Actualy unakuwa umeshinda, not at that time but muda utakapo sogea such makundi huwa yanasambaratika halaf baada ya muda atashtuka nani alikuwa mjinga. By then ww unakuwa uko kwingine na maisha yako
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…

Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
Hatutongozi. Tunaongoza.
 
Back
Top Bottom