Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Majukumu tu 😂 ila nipo😂😂😂 umeadimika sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukumu tu 😂 ila nipo😂😂😂 umeadimika sana!!
Maninaaaaaa😂😂😂😂Nipo likizo ya masaa mawili, wacha moto uendelee 😂
Nilitaka nifungue uzi namtafuta cazee wangu 😂😂😂Majukumu tu 😂 ila nipo
Actualy unakuwa umeshinda, not at that time but muda utakapo sogea such makundi huwa yanasambaratika halaf baada ya muda atashtuka nani alikuwa mjinga. By then ww unakuwa uko kwingine na maisha yakoNdio ilivyo haswa kwa slay queens, principle no.1 usitongoze mwanamke anaekaa kama nyumbu kwa usalama wako. Bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani ujue umeisha
😂😂😂😂😂😂😂😂Actualy unakuwa umeshinda, not at that time but muda utakapo sogea such makundi huwa yanasambaratika halaf baada ya muda atashtuka nani alikuwa mjinga. By then ww unakuwa uko kwingine na maisha yako
Hahahahaha niko bana worry outNilitaka nifungue uzi namtafuta cazee wangu 😂😂😂
Dawa wa haya majopo ni kuanza na yule mwenye influence akifuatiwa na yule mrembo kuliko wote.Ndio ilivyo haswa kwa slay queens, principle no.1 usitongoze mwanamke anaekaa kama nyumbu kwa usalama wako. Bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani ujue umeisha
😂😂😂🙌🙌Dawa wa haya majopo ni kuanza na yule mwenye influence akifuatiwa na yule mrembo kuliko wote.
Hatutongozi. Tunaongoza.Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…
Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
Sawasawa cazeeHahahahaha niko bana worry out
Hahahah yule influencer huwaga sii mrembo kabisa😂! Cheerleader huwa ni fugly au mediocre kuliko wenzieDawa wa haya majopo ni kuanza na yule mwenye influence akifuatiwa na yule mrembo kuliko wote.
Uko njema lakin?Sawasawa cazee
HahahHahahah yule influencer huwaga sii mrembo kabisa😂! Cheerleader huwa ni fugly au mediocre kuliko wenzie
😂😂😂 Yani leo mnafunguka vitu ambavyo vya kweliHahahah yule influencer huwaga sii mrembo kabisa😂! Cheerleader huwa ni fugly au mediocre kuliko wenzie
Niko pouwa kabisa.!!Uko njema lakin?