Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…

Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
Hahahahaha hii inawezekana kabisa
 
Unakuta unamaindi zile huba anazopewa mjumbe mwenzio ila namna ya kujiingiza ni kumsagia kunguni ili jina likatwe kisha ukajiweke 😂 na hapo ndipo bunge linavunjwaga rasmi ukishastukiwa.
Acha tyuu.!! 😂😂😂
Kuna wengine nao wanayataka wanawasifia mno mpk mwingine inajiona yatima wa mapenzi.!!

Mi nikiona shosti yangu anamtolea jicho mpenzi wangu, namuwahi kumtisha nampa ukimwi shogaangu 🤣🤣🤣
Namwambia na dawa namsindikiza mimi kuchukua.!!
 
Yani bichwa komwe kaandika ukweli, mwanaume akipata kakundi km hako agonge wote tu maana huwaga vichwa panzi
😂😂😂 na vikundi vingi vya marafiki vichwa panzi wanagongwa wote.
Wanakuja kushtuka baadae km wote wamepitishwa mlima wa moto.!!

Wanaume wakishaona mna tamaa kifuatacho ni kuwaramba crew nzima..
 
😂😂😂 na vikundi vingi vya marafiki vichwa panzi wanagongwa wote.
Wanakuja kushtuka baadae km wote wamepitishwa mlima wa moto.!!

Wanaume wakishaona mna tamaa kifuatacho ni kuwaramba crew nzima..
Nitajie kundi la kikoba wenye akili, nawaonaga wanafiki tu utakuta vinajiita BFF, ila wanafanyiana fitina za kila namna
 
Nitajie kundi la kikoba wenye akili, nawaonaga wanafiki tu utakuta vinajiita BFF, ila wanafanyiana fitina za kila namna
Vingine vipo humu humu 🤣🤣🤣
Em nifunge domo langu mie.!!

Hapo kwenye bff ndio balaa.. hao wanaongoza kwa kupita na mashemeji zao.!!
Na wanaume washajua ni wanawapitia kwa kwenda mbele.!
Si umeona comments zao wanavyojitapa
 
Mi nakumbuka mpaka namaliza chuo rafiki zangu hawajui kama nina mchumba,nyie hao huwa mnawatoa wapi?
 
Vingine vipo humu humu 🤣🤣🤣
Em nifunge domo langu mie.!!

Hapo kwenye bff ndio balaa.. hao wanaongoza kwa kupita na mashemeji zao.!!
Na wanaume washajua ni wanawapitia kwa kwenda mbele.!
Si umeona comments zao wanavyojitapa
Acha wapigwe mashine tena ni vizuri wanaume waŵe wanawajulisha wakishamaliza mzunguko,
 
Hawajawahi kuwa na akili...

Na pia Ukipata mwanamke katulia usiingie miguu yote. (usimuamini kwa haraka, huenda anaigiza!... Ishi nae kwa akili kubwa na mchunguze vya kutosha!) Usidanganyike! Wanawake hawapewagi trust 100% Ni swala la muda 😊
 
Mimi nikiwa sijamuelewa wallah atajuta hata km Hana kasoro nitaitafuta na nitaipata na lazima akataliwe na kura za hapana 😂😂😂
Chino ndo ashanasa

Mungu muepushie hiki kikombe kisimkute.
 
Back
Top Bottom