Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Wenye vikosi ndo wawe makini, mi humu kwenyewe sinaga kundi wala sijawahi kuwa mfuasi wa hivyo,Muwe makinini hizi ni nyakati za mwisho😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye vikosi ndo wawe makini, mi humu kwenyewe sinaga kundi wala sijawahi kuwa mfuasi wa hivyo,Muwe makinini hizi ni nyakati za mwisho😂
Hatari sana unakuta anakwambia shemeji kicheche kumbe akimuona anamlegezea jicho..!!Tena hiyo ndo inaongoza kwa sasa
Hahahah bora kama unakuwa independent, mambo ya urafiki style ya vikoba huwa hayanaga mwisho mzuriWenye vikosi ndo wawe makini, mi humu kwenyewe sinaga kundi wala sijawahi kuwa mfuasi wa hivyo,
Hahahahaha hii inawezekana kabisaSishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…
Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
HahahahahaHatari sana unakuta anakwambia shemeji kicheche kumbe akimuona anamlegezea jicho..!!
Yani bichwa komwe kaandika ukweli, mwanaume akipata kakundi km hako agonge wote tu maana huwaga vichwa panziHatari sana unakuta anakwambia shemeji kicheche kumbe akimuona anamlegezea jicho..!!
Nilivyo na misimamo huyo rafiki tu wa kike sinaga, nikiwa na jambo nakaa na halmashauri ya kichwa changu nikibugi najilaumu mwenyeweHahahah bora kama unakuwa independent, mambo ya urafiki style ya vikoba huwa hayanaga mwisho mzuri
Acha tyuu.!! 😂😂😂Unakuta unamaindi zile huba anazopewa mjumbe mwenzio ila namna ya kujiingiza ni kumsagia kunguni ili jina likatwe kisha ukajiweke 😂 na hapo ndipo bunge linavunjwaga rasmi ukishastukiwa.
😂😂 waungwana wana mbinu kaliHahahahaha
Hahahahaha hatari sana😂😂 waungwana wana mbinu kali
😂😂😂 na vikundi vingi vya marafiki vichwa panzi wanagongwa wote.Yani bichwa komwe kaandika ukweli, mwanaume akipata kakundi km hako agonge wote tu maana huwaga vichwa panzi
Nitajie kundi la kikoba wenye akili, nawaonaga wanafiki tu utakuta vinajiita BFF, ila wanafanyiana fitina za kila namna😂😂😂 na vikundi vingi vya marafiki vichwa panzi wanagongwa wote.
Wanakuja kushtuka baadae km wote wamepitishwa mlima wa moto.!!
Wanaume wakishaona mna tamaa kifuatacho ni kuwaramba crew nzima..
Vingine vipo humu humu 🤣🤣🤣Nitajie kundi la kikoba wenye akili, nawaonaga wanafiki tu utakuta vinajiita BFF, ila wanafanyiana fitina za kila namna
Acha wapigwe mashine tena ni vizuri wanaume waŵe wanawajulisha wakishamaliza mzunguko,Vingine vipo humu humu 🤣🤣🤣
Em nifunge domo langu mie.!!
Hapo kwenye bff ndio balaa.. hao wanaongoza kwa kupita na mashemeji zao.!!
Na wanaume washajua ni wanawapitia kwa kwenda mbele.!
Si umeona comments zao wanavyojitapa
🤣🤣🤣🤣🙌🙌Acha wapigwe mashine tena ni vizuri wanaume waŵe wanawajulisha wakishamaliza mzunguko,
HahahahahaNitajie kundi la kikoba wenye akili, nawaonaga wanafiki tu utakuta vinajiita BFF, ila wanafanyiana fitina za kila namna
Chino ndo ashanasaMimi nikiwa sijamuelewa wallah atajuta hata km Hana kasoro nitaitafuta na nitaipata na lazima akataliwe na kura za hapana 😂😂😂
Chino bana huchoki 😹Chino ndo ashanasa
Mungu muepushie hiki kikombe kisimkute.