Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae

Ndio ilivyo haswa kwa slay queens, principle no.1 usitongoze mwanamke anaekaa kama nyumbu kwa usalama wako. Bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani ujue umeisha
Kaka ukipigiwa kura ya NDIO ujue hakuna anaekuelewa hapo kwaiyo wanampa shoga yao go ahead tu lakini ukipigiwa kura ya HAPANA ujue kikundi cha kikopa kimekuelewa, lengo lao shoga yao akuache wakubebe fasta, hawa wenzetu urafiki wao ni wakinafiki sana.
 
Juzi kati mwezi wa saba nilipigwa tukio aisee nilitongoza mwanamke mmoja mwezi wa saba akawa anataka kuelekea kujaa kwenye mfumo mara paap kumbe ana pacha wake oyaa nikaja kataliwa hivihivi

Nikasema yaan apa lazima yule pacha wake alimshauri...
Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…

Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
 
Back
Top Bottom