MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Nani alikudanganya mkuu?? Huo ndio mwanya wa kucharaza circle nzima, dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzieSishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikudanganya mkuu?? Huo ndio mwanya wa kucharaza circle nzima, dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzieSishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia.
Kaka ukipigiwa kura ya NDIO ujue hakuna anaekuelewa hapo kwaiyo wanampa shoga yao go ahead tu lakini ukipigiwa kura ya HAPANA ujue kikundi cha kikopa kimekuelewa, lengo lao shoga yao akuache wakubebe fasta, hawa wenzetu urafiki wao ni wakinafiki sana.Ndio ilivyo haswa kwa slay queens, principle no.1 usitongoze mwanamke anaekaa kama nyumbu kwa usalama wako. Bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani ujue umeisha
Kilichobaki ni kuweka bango kubwa mataa ya mwengeChino bana huchoki 😹
Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee, huyu anafaa tutoke nae?”…
Sasa kauli nitayoisema next ni ita-make sense ukiliwaza vizuri, “Ni rahisi rafiki wa mwanamke kutoka na mwanaume wa rafiki yao ila ngumu kwa rafiki wa mwanaume kutoka na mwanamke wa mshkaji wao. Mwanaume anamchagua mwanamke wake ila wanawake wanasaidiana kuchagua.
Unapochagua mwanamke chagua ambae hana marafiki wengi.
😂😂😂Kilichobaki ni kuweka bango kubwa mataa ya mwenge