Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

Yupo 50/50 hajakubali hajakataa,, kakupa nafasi ya wewe kujichukulia hizo 50 nyingine, unatakiwa ujioneshe umpe sababu kwanini akukubalie.

-fanya yale mambo ya kijentromani
-mpe pesa
-mpe zawadi
-usiwe kupe bin king'ang'a
-usimkere na mvua ya mimeseji umekula, umekula nini, umevaa, umevaaje, jibu langu, sasa sasa....na mengine jiongeze
 
Sawa sawa

Leo nimeambiwa "usiwe Ivo wala usijiumize kunifikiria"

Ushaur namimi niongeze nini hapo ? maana nikimpotezea anakuja kama kishada kujichekesha .....
 
Tatizo kutongoza wengine hawajui.

Umemwambia nini mpaka akujibu NO COMMENT. Na alivyokujibu hivyo ukasemaje.
 
Mfano umempiga manzi sound,afu akakujibu NO COMMENT anakua na maana gani exactly?
Acha ujinga.
Huyo muite tu ghetto, mwambie tu aje kukusalimia, au jifanye unaumwa siku mbili tatu, akijichanganya akitimba tu ghetto, unamuwekea mazingira ya kumla. Ukifanikiwa ndo imeisha hiyo. Usipofanikiwa pia unakua umepata jibu lako, acha undezi.
 
Tayari hiyo peleka posa kwao, tatizo vijana mnaogopa sana maisha
 
Utakua umemwambia "I love you" halaf ukawa unasubiri jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…