Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahha mimvua ya mesejiYupo 50/50 hajakubali hajakataa,, kakupa nafasi ya wewe kujichukulia hizo 50 nyingine, unatakiwa ujioneshe umpe sababu kwanini akukubalie.
-fanya yale mambo ya kijentromani
-mpe pesa
-mpe zawadi
-usiwe kupe bin king'ang'a
-usimkere na mvua ya mimeseji umekula, umekula nini, umevaa, umevaaje, jibu langu, sasa sasa....na mengine jiongeze
mimeseji inamwagika tu umekula, umekula nini, sa nimekula kivipiii bila hela nakulaje 😂😂😂Hahhahha mimvua ya meseji
imenibidi niscreenshot huu ujumbe maanYupo 50/50 hajakubali hajakataa,, kakupa nafasi ya wewe kujichukulia hizo 50 nyingine, unatakiwa ujioneshe umpe sababu kwanini akukubalie.
-fanya yale mambo ya kijentromani
-mpe pesa
-mpe zawadi
-usiwe kupe bin king'ang'a
-usimkere na mvua ya mimeseji umekula, umekula nini, umevaa, umevaaje, jibu langu, sasa sasa....na mengine jiongeze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maswali mengiiiiimimeseji inamwagika tu umekula, umekula nini, sa nimekula kivipiii bila hela nakulaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine ndio kisha maliza ujanja wake wote tayari,kwa kuja kuuliza hilo swali humu inaoekana kabisa kua kisha ishiwa mbinu.Ongeza point za kukubaliwa
Maboko gani hayo...imenibidi niscreenshot huu ujumbe maan
nimeyakumbuka maboko yangu nimeishia kucheka kimoyo moyo
Asivunjike moyo ata win siku 1Pengine ndio kisha maliza ujanja wake wote tayari,kwa kuja kuuliza hilo swali humu inaoekana kabisa kua kisha ishiwa mbinu.
Hii mbinu niliitumia sana zamani gheto langu likiwa kali nilifyeka mtaa mzima na ofisi nzimaAcha ujinga.
Huyo muite tu ghetto, mwambie tu aje kukusalimia, au jifanye unaumwa siku mbili tatu, akijichanganya akitimba tu ghetto, unamuwekea mazingira ya kumla. Ukifanikiwa ndo imeisha hiyo. Usipofanikiwa pia unakua umepata jibu lako, acha undezi.
Hiyo hela ta outing na zawadi amtumie mama yake anywe pepsi bariiidi.sihongi demu ambaye sijamlaJifunze kuwa gentleman, kama umeeleza hisia zako. Basi mind your business, only time ukimtafuta ni kama unataka umtoe out, umpe zawadi n.k Epuka long convos kwenye simu, ukitaka kuzungumza naye mtoe out, akuzoee ile ana kwa ana. Baada ya hapo unampa muda wa kukufikiria na kukukumbuka.
Ok sawa.Hiyo hela ta outing na zawadi amtumie mama yake anywe pepsi bariiidi.sihongi demu ambaye sijamla
Kwamba hakutarajia Kinyamkera kama wewe kumtongoza .Mfano umempiga manzi sound,afu akakujibu NO COMMENT anakua na maana gani exactly?
Chukua hii kijana kutoka kwa binti la kisukuma huko Misasi Misungwi ndani ndani huko limekulia udaga!❤️Yupo 50/50 hajakubali hajakataa,, kakupa nafasi ya wewe kujichukulia hizo 50 nyingine, unatakiwa ujioneshe umpe sababu kwanini akukubalie.
-fanya yale mambo ya kijentromani
-mpe pesa
-mpe zawadi
-usiwe kupe bin king'ang'a
-usimkere na mvua ya mimeseji umekula, umekula nini, umevaa, umevaaje, jibu langu, sasa sasa....na mengine jiongeze
acha tu nilikuw nakariri wakat wa kula na kulala kumbe mambo ni easy tu muamala usome freshMaboko gani hayo...