Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

Yupo 50/50 hajakubali hajakataa,, kakupa nafasi ya wewe kujichukulia hizo 50 nyingine, unatakiwa ujioneshe umpe sababu kwanini akukubalie.

-fanya yale mambo ya kijentromani
-mpe pesa
-mpe zawadi
-usiwe kupe bin king'ang'a
-usimkere na mvua ya mimeseji umekula, umekula nini, umevaa, umevaaje, jibu langu, sasa sasa....na mengine jiongeze
Jibu mrua sana hili
 
Back
Top Bottom