Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Aisee hii ina kweli hata mm imenikuta ananiambia tuwe marafiki ajabu meseji za mapenzi mara tutoke yaan mpk kuna Rafiki ake mmoja anajua kuwa kama sisi tupo kwenye uhusiano kumbe ndio friend zone nisipompigia simu au kumchunia anaenda kumwambia huyo shoga na shoga ananifata na kuniambia hawa viumbe wana shida kweli 😁 😁 😁
 
Sure! naamini kuna siku atajaa kwenye 18 zangu!!
Nitamfungulia Uzi hapa siku anajaa kingi.
Namtamani sanaa.
 
dah I won't be surprised kuna watu wazee humu ndani sio mchezo. Ila 72 umenipiga kamba hapo itakuwa 27🙂 ukumbuke kuamkia wakubwa zako


haha I am Gru, the master of Minions 🤣
View attachment 2634333
Mi mtu mzima bhana 72 yrs, japo napenda magoma ya vijana 😂😂. Kama feel,over Dem, un available, no competition by davido. mshamba_hachekwi
 

Jeuri ya pesa hiyo wasio nazo wanafukuzia mwaka mzima [emoji23][emoji1787]
 
Bishaneniii humu mkirudii huku mnabembeleza tuwe hata marafiki

Hapa asilimia 90 wamekubali kuwa marafiki kwa waliowatongoza na hela wanatoaa tena nyingi
 
Wasukuma tuheshimiwe nyinyi vijikabila viduchu viduchu muwe na heshima
 
Wanawake wa dizain hiyo hata sio wastaarabu wala kusema eti wapole, hapana wengi wao ni malaya kwa uzoefu wangu. Wanatumia neno tuwe marafiki kwanza kukuaminisha kuwa wana maadili sijui mfahamiane vizuri na upuuzi kama huo lakini kiuhalisia unakuta ana mahusiano na wanaume zaidi ya mmoja na wewe anakuweka kwenye waiting list. Ukikutana na demu wa dizain hii kimbia kama umempenda kweli ila kama una moyo wa kufeki ishi nae mda utafika utapewa na wewe utamu.
 
Sibembelezi napendwa, wewe hujui unachomaanisha, wewe unamaanisha ngono, sio upendo, urafiki ni Upendo, na nina enjoy every process, bila wasiwasi, tatizo lako wewe utakuwa unangoja ngono, mimi singoji ngono, I enjoy the process
Nataman sana nikujue man nyiw mko each sana
 
Haya mambo hayana formula mkuu, mi ilishanitokea Kuna manzi nilisaundisha aknijibu oooh napenda tuwe marafiki tu ,nikasema poa Haina shida, kweli tukaendelea kuwa marafiki akiwa na shida kama nina uwezo wa kumsaidia namsaidia siku zikasonga ikapita kama miezi minne hivi akaanza mala alete msosi gheto, mala alete zawadi mala aje kupika gheto, siku ya siku nimelala zangu alfajiri ya saa kumi na moja naona anapiga cm ananiambia nifungulie mlango nipo nje nikamuuliza mbona mapema sana akasema amenimiss mala naona mtu anatoa nguo anakuja kitandani, Sasa imebaki story nikwamba tunanyanduana mpaka Sasa .
 
Legendary
 
Mazingira gani hayo unayoyatengeneza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…