Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
ahahahaha hiz sasa ndio moj ya mbinu kijana anatakiwa kuzijua.Zaid Zaid nikiwa na mashaka nae sn
Ntafanya nimle Kwanza afu kumtongoza kutafata baada ya kulalana tuzingumze muafaka ukoje baada ya zinaa tuliyoifanya.
Binafsahahahaha hiz sasa ndio moj ya mbinu kijana anatakiwa kuzijua.
Kwamba unaweza usimtongoze mwanamke lakin unaweza ukamla vizur tuuu.
Na hata wale ambao sometimes uko kwenye mchakato wa kuwapiga sound unaweza kukuta anakusumbua weww ila kuna mwamba anamgonga vizur tuuu wakat anaendelea kukufikiria kama wewe akukkubali au lah!...
Yan kuna time inabid the process iwe Riversible tokea mwisho kurud mwanzo asikariri tu kuanzia mwanzo - kati - mwisho [emoji1787][emoji1787]
Mkuu hujui kutembea na beat?Tatizo la wanawake,
Wakishajua ulishawatongoza
Hata ukiwa rafki yake haitosaidia
Chochote kizur utakachofanta kwake atajua unajipendekeza kuskilizia jibu lake.
Hata Kama Alikua anakuheshimu,hakuombi chochote,
Atabadilika ghafla,
ukimkwaza kdg anaropoka TU,
ataanza kukupiga vizinga bila aibu maana anajua unamtaka,hutochomoa.
You are ready to do anything for her
TAFSIRI YA WANAWAKE KWA MWANAUME ANAYEMPENDA KWELI SIO MISIMAMO
NI mwanaume aliyetayar KUFANYA chochote kwa ajili yake ili Kutetea penzi lake.
Hata Kama hapendi,Hana uwezo au kinadhalilisha utu wake, atafanya TU for the sake of love.
Mwanaume unayejitambua thamani yako, huwez kuruhusu huo Upuuzi eti mtu achezee hisia zako na kupotezeana muda.
.....Nakuchukulia zaidi kama mshikaji tu unajua ile sijawahi hata siku moja kuwa na hisia za hivyo juu yako....!😀KAtika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Na hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiwmbiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia
Nimewasilisha
Alikuwa anataka akuchunguze Kwanza.Mu wife said the same thing and now we have two beautiful kids. .
Kwanza mchakato wa kutongoza ni gharama sanaaaa na hapo mlengwa atakupiga sana kwakua anajua uko desparate kumpataBinafs
sikumbuki Ni lini nmetongoza mwanamke
Yaan Ni mDA mrefu sana mkuu
ila hapa katkat nmewala Sana Yaan
Kwanza
naamini kumtongoza mwanamke Ni kujitengenezea mazingira magumu ya kumpata
Pili
Utaanza kuwekewa mashart kibao kila unpomhitaji,hata Kama ishu hazihusu mapenzi.
Tatu,
Mwanamke husika ukishamtongoza hata ukiwa nae mazingira hatarish atajishuku sn Unaweza kumbaka,hata Kama hua wazo Hilo.
Huwa napenda mwanamke awe comfortable mpk pale anapijikuta tayar keshaliwa kimasihara,
Apo ndo panakua patamu mnakaa kuzungumzia mustakabali wenu kwa jinsi unavojiskia Wewe.
anakuelewa ila anavunga kumuogopa mkeo 😀😀😀 majibu yake hayakatishi tamaa.
Serious mkuu ???Achana na hizo porojo mkuu,
Penzi la kweli huwa Ni at first sight
Hayo ya kukupenda baadae jua ni unavumiliwa TU kwa sababu nyngn nyngn anazojua zinamfaidisha mwanamke mwnyw.
Usikubali kutumika, utaishia kupata sonona kwa kulazimisha penzi usikopendwa.
Tatizo la wanawake,
Wakishajua ulishawatongoza
Hata ukiwa rafki yake haitosaidia
Chochote kizur utakachofanta kwake atajua unajipendekeza kuskilizia jibu lake.
Hata Kama Alikua anakuheshimu,hakuombi chochote,
Atabadilika ghafla,
ukimkwaza kdg anaropoka TU,
ataanza kukupiga vizinga bila aibu maana anajua unamtaka,hutochomoa.
You are ready to do anything for her
TAFSIRI YA WANAWAKE KWA MWANAUME ANAYEMPENDA KWELI SIO MISIMAMO
NI mwanaume aliyetayar KUFANYA chochote kwa ajili yake ili Kutetea penzi lake.
Hata Kama hapendi,Hana uwezo au kinadhalilisha utu wake, atafanya TU for the sake of love.
Mwanaume unayejitambua thamani yako, huwez kuruhusu huo Upuuzi eti mtu achezee hisia zako na kupotezeana muda.
"Nina hofu kuhusu mkeo"
Ubaya mwanamke ukimtamani kama hakuwazii hakupi entry points. Utagarauka moyo sana mwisho utaona bora uropoke tu famlilahi.Sahii kabisa,
Binafs siwez kumtongoza mwanamke ambae najua direct Ni atanikataa,
nikishaona redflag za kunikataa hata sisemi chochote nampotezea kimya kimya.
Mpk nmetamka nishajiridhisha ntakubaliwa.
Zaid Zaid nikiwa na mashaka nae sn
Ntafanya nimle Kwanza afu kumtongoza kutafata baada ya kulalana tuzingumze muafaka ukoje baada ya zinaa tuliyoifanya.
Unachezea mizinga ya kila aina kama Ukraine 🤣🤣🤣Unawekwa friend zone then mizinga ya vikoba,Michezo ,bundle nk vyote vinakuhusu ww.
Mwanamke kama anakukubali ni mapema tu tena wala hutumii nguvu🤣 ila akikukataa wala anakuwa hana time na wewe.Achana na hizo porojo mkuu,
Penzi la kweli huwa Ni at first sight
Hayo ya kukupenda baadae jua ni unavumiliwa TU kwa sababu nyngn nyngn anazojua zinamfaidisha mwanamke mwnyw.
Usikubali kutumika, utaishia kupata sonona kwa kulazimisha penzi usikopendwa.
Utatumika mpk uchakae,Hio michezo ipo sana af demu akiwa hana hisia na wewe anakugeuza punda wake wa kumbebea matatizo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usipokusa smart utaachwa nanja.