Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah ni msala.Utatumika mpk uchakae,
Huo ujinga wa kuwekwa friend zone wanapaswa wafanyiwe Wanaume single, desperate na wasiojiamini
Yaani wale wanaitwa BETA MALES
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah ni msala.Utatumika mpk uchakae,
Huo ujinga wa kuwekwa friend zone wanapaswa wafanyiwe Wanaume single, desperate na wasiojiamini
Yaani wale wanaitwa BETA MALES
Eti eeh,Sio kweli
Hapo ndo Kuna Tatizo,Unawekwa friend zone then mizinga ya vikoba,Michezo ,bundle nk vyote vinakuhusu ww.
Sasa wewe hujui raha ya urafiki, hiyo unakula bila kubanwa yaani anataka akupe na ampe ma mpenzi wakeKAtika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Na hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiwmbiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia
Nimewasilisha
Urafiki ni muhimu kwa upande wangu😀Eti eeh,
Urafiki wa kibongo ni kitivo cha Mizinga. 🤣 Maswala ya kugeuzwa wakala wa kuendesha mapenzi ya watu wengine hapana.Urafiki ni muhimu kwa upande wangu😀
Kijana uliyepost inabidi upimwe uanaume wako kwasababu kama ni hivyo itabidi utongoze wanawake wengi sana ambapo pia unaweza usifanikiwe. Enzi za ujinga wangu nilikuwa kama wewe kumbe yule manzi alikuwa ananipenda... ndo siku moja akaniwashia taa ya
Naunga mkono hojaKijana uliyepost inabidi upimwe uanaume wako kwasababu kama ni hivyo itabidi utongoze wanawake wengi sana ambapo pia unaweza usifanikiwe. Enzi za ujinga wangu nilikuwa kama wewe kumbe yule manzi alikuwa ananipenda... ndo siku moja akaniwashia taa ya kijani kwa kuniambia HAPENDI MWANAUME MKATA TAMAA... tulikuja kuwa wapenzi tuliopendana sana kabla ya kutenganishwa na MSUKUMA.
hii saikoloji ni ya wapimwanaume inamchukua sekunde nane kumpenda mwanamke, Mwanamke inamchukua siku 15 kumpenda mwanaume.
kula chuma hiko
Inategemea lengo la mahusiano yenyewe.Urafiki wa kibongo ni kitivo cha Mizinga. 🤣 Maswala ya kugeuzwa wakala wa kuendesha mapenzi ya watu wengine hapana.
NikishamtamaniUbaya mwanamke ukimtamani kama hakuwazii hakupi entry points. Utagarauka moyo sana mwisho utaona bora uropoke tu famlilahi.
youth should take careKumtongoza mwanamke ni process inayohitaji kuzingatia vitu vingi na moja wapo ni uwezo wako wa ku predict outcomes before making a move.
Yan kuna mamzingira unapaswa kujua kabisa hapa kwa namna yoyote ile the answer will be no..na kuna mazingira unaweza kutengeneza ili ku guarantee a Yes as an answer
Hapo unakuwa umeshachoma hela ya kutosha lakini.Nikishamtamani
Namtengenezea mazingira ya kumpata
Na mazingira nnayomtengenezea yanamuweka dilemma sana, ajue namtaka ila asijihakikishie Sana, abaki katikati
Kisha ktk mazingira hayo
namfanya yeye awe ananihitaji Sana Mimi mda mwingi kuliko nnavomhitaji yeye.
Nikishaona ameelewa somo,
Ndo nafata next step ya kumuweka mazingira hatarishi zaidi Ili akaliwe kabisa kimasihara, baada ya kumla ndo tunakaa mezani Sasa.
Na hapo mezani Sasa,
Kwasababu nishamla, Nguvu ya negotiation tayar ninayo Mimi.
Akifikiria tayar keshaliwa, atafanyaje
Basi kila nnalomwambia Ni "NDIO MZEE"
Achezea HIMARS za kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unachezea mizinga ya kila aina kama Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ya kutumia Nguvu yashapitwa na Wakati,Mwanamke kama anakukubali ni mapema tu tena wala hutumii nguvu[emoji1787] ila akikukataa wala anakuwa hana time na wewe.
Ha ha ha...[emoji4]Hatutongozi. Tunaongoza.
Ndio maana niliwaambia wadau akitaka urafiki wewe kubali ila nenda kwa akili tembea na beat lake.😂Mie ilinitokea enzi niko chuo demu akasema tuwe marafiki nikakubali akawa rafiki nikatafuta demu mwingine akaanza kununa. Baadae nilimgongamo
Hatutongozi. Tunaongoza.
Urafiki una faida kwa Nyie wanawake, hasa wa vijijini.Urafiki ni muhimu kwa upande wangu[emoji3]