Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

KAtika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari

Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye

Na hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka

Mwanaume ukiwmbiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia
Nimewasilisha
Sasa wewe hujui raha ya urafiki, hiyo unakula bila kubanwa yaani anataka akupe na ampe ma mpenzi wake
 
Kijana uliyepost inabidi upimwe uanaume wako kwasababu kama ni hivyo itabidi utongoze wanawake wengi sana ambapo pia unaweza usifanikiwe. Enzi za ujinga wangu nilikuwa kama wewe kumbe yule manzi alikuwa ananipenda... ndo siku moja akaniwashia taa ya
Kijana uliyepost inabidi upimwe uanaume wako kwasababu kama ni hivyo itabidi utongoze wanawake wengi sana ambapo pia unaweza usifanikiwe. Enzi za ujinga wangu nilikuwa kama wewe kumbe yule manzi alikuwa ananipenda... ndo siku moja akaniwashia taa ya kijani kwa kuniambia HAPENDI MWANAUME MKATA TAMAA... tulikuja kuwa wapenzi tuliopendana sana kabla ya kutenganishwa na MSUKUMA.
Naunga mkono hoja
 
Ubaya mwanamke ukimtamani kama hakuwazii hakupi entry points. Utagarauka moyo sana mwisho utaona bora uropoke tu famlilahi.
Nikishamtamani
Namtengenezea mazingira ya kumpata

Na mazingira nnayomtengenezea yanamuweka dilemma sana, ajue namtaka ila asijihakikishie Sana, abaki katikati

Kisha ktk mazingira hayo
namfanya yeye awe ananihitaji Sana Mimi mda mwingi kuliko nnavomhitaji yeye.

Nikishaona ameelewa somo,

Ndo nafata next step ya kumuweka mazingira hatarishi zaidi Ili akaliwe kabisa kimasihara, baada ya kumla ndo tunakaa mezani Sasa.

Na hapo mezani Sasa,
Kwasababu nishamla, Nguvu ya negotiation tayar ninayo Mimi.

Akifikiria tayar keshaliwa, atafanyaje
Basi kila nnalomwambia Ni "NDIO MZEE"
 
Kumtongoza mwanamke ni process inayohitaji kuzingatia vitu vingi na moja wapo ni uwezo wako wa ku predict outcomes before making a move.
Yan kuna mamzingira unapaswa kujua kabisa hapa kwa namna yoyote ile the answer will be no..na kuna mazingira unaweza kutengeneza ili ku guarantee a Yes as an answer
youth should take care

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nikishamtamani
Namtengenezea mazingira ya kumpata

Na mazingira nnayomtengenezea yanamuweka dilemma sana, ajue namtaka ila asijihakikishie Sana, abaki katikati

Kisha ktk mazingira hayo
namfanya yeye awe ananihitaji Sana Mimi mda mwingi kuliko nnavomhitaji yeye.

Nikishaona ameelewa somo,

Ndo nafata next step ya kumuweka mazingira hatarishi zaidi Ili akaliwe kabisa kimasihara, baada ya kumla ndo tunakaa mezani Sasa.

Na hapo mezani Sasa,
Kwasababu nishamla, Nguvu ya negotiation tayar ninayo Mimi.

Akifikiria tayar keshaliwa, atafanyaje
Basi kila nnalomwambia Ni "NDIO MZEE"
Hapo unakuwa umeshachoma hela ya kutosha lakini.
 
Mwanamke kama anakukubali ni mapema tu tena wala hutumii nguvu[emoji1787] ila akikukataa wala anakuwa hana time na wewe.
Mambo ya kutumia Nguvu yashapitwa na Wakati,

mwanamke akishakupenda Kwanza hajifichi, anaweweseka mno akikuona.

Huitaji kutumiana Nguvu sn kung'amua hilo

HUWA NAWASHANGAA SN WANAOLAZIMISHA KUPENDWA

Eti unafukuzia jibu mwezi mzima[emoji1787]

Kana kwamba yeye Ni special Sana asipokupenda unakata roho[emoji1787]
 
Urafiki ni muhimu kwa upande wangu[emoji3]
Urafiki una faida kwa Nyie wanawake, hasa wa vijijini.

Ile kwa mwanaume ile Ni time consuming na expensive, Unatumika Kama danga TU.

Ni nzur Kama mwanamke Kama hapigi vizinga, au Hana mahitaji yoyote ya pesa.

Sema kwa maisha ya mjini mjini.
gharama za maisha ziko juu mno,

uzoeane na mwanmke tu bila kumhudumia au kutumia nae pesa zako

Hiyo hata wee mwnyw mwanume utajistukia, Hapa nazingua aisee.

ANAISHIJE HUYU MWANAMKE?[emoji848]
 
Back
Top Bottom