Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Ku
KAtika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari

Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye

Na hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka

Mwanaume ukiwmbiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia
Nimewasilisha
Kuna demu nilikuwa na mtongoza nikamuuliza ana jamaa,akasema anaye ila sio kivilee😀😀
 
Yote ya Nini Sasa kubet mahusiano na wanawake wazuri wapo lukuki Duniani.

Hii kila siku nasema,
huu ujinga wafanyiwe wanaume dhaifu, desperate na wasiojiamini

Huwez ukawa mwanaume una soko ukaanza kujiliza kisa mapenzi.

Otherwise uyo mwanamke niwe nishamvua na nmegundua ana kitu special sn Kama alivyo kwa mamaJ.

Hapo hata mwaka mzima ntasuburi jibu[emoji38]
Unajichoshaaa ukija kumvua unakuta nikama mdogo wake mama j, yule wa chuo
 
Mambo ya kutumia Nguvu yashapitwa na Wakati,

mwanamke akishakupenda Kwanza hajifichi, anaweweseka mno akikuona.

Huitaji kutumiana Nguvu sn kung'amua hilo

HUWA NAWASHANGAA SN WANAOLAZIMISHA KUPENDWA

Eti unafukuzia jibu mwezi mzima[emoji1787]

Kana kwamba yeye Ni special Sana asipokupenda unakata roho[emoji1787]
Hio ndo point yangu mwanamke hawez kuwa kavutiwa na wewe alafu akuambie muwe kwenye friendzone

Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
 
Vijana sikuhiz mnafeli sana, mwanamke anakujibu hivyo unakata tamaa unamuogopa? Hujui ndio kipimo cha urijali na uanaume wako anataka akuone utafanyaje umpate zaidi...
Mimi hayo majibu ndio huwa nayapenda... Nakumbuka nikiwa na miaka 28 Kuna mama mmoja wa makamo nilikutana naye kazini kwake somewhere, sijui nilipata wapi ujasiri ule nilimchombeza kiaina ile ya kuonyesha nimemuelewa, alinijibu kwa ukali kaweka sura ya mbuzi "kijana niheshimu tu, mimi ni mkubwa kama mama yako"... Ni kweli alikua mtu mzima (50+) ila alikua mzuri mwenye umbo la kuvutia...
Kesho yake mchana nikajiambia yule mama nikikaa kimya ataona nimemuogopa, nikamfuata face to face nilimsalimia nikamuomba utelezi live bila chenga, nikamwambia embu acha kujifanya mtu mzima wakat wewe ni mwanamke mrembo mwenye kuvutia nahitaji leo nikakupe utamu ambao uliwahi kuupata ukiwa msichana 😅😅 akaishia kucheka akasema leo umeniamulia sijawahi ona mwanaume jasiri hivi, kijana unajiamini unataka hadi vitamu vya baba yako..? Utaishia kunichafua tu image yangu... Nikamwambia nipo serious saa ngapi utakua free? Akaniambia embu ondoka hapa na maneno yako ushanivuruga nitakupigia cm baadae... Akili yangu ikaniambia kwa jinsi alivyo kujibu ondoka tayar kaingia 18 anazuga tu... Jioni saa 10 akanipigia cm "wee mtoto umenifanya sijafanya kazi nawaza maneno yako, acha upuuzi tafuta sehem ya siri utanielekeza nije" 😅🤣 in 20 minutes nikawa nimepata hotel ya bei kawaida tu 60K... Nilimpiga show moja matata akaniambia kuanzia leo tutakua tunakuja hapa ila sipendi utoto nisikie huko nje... Hadi leo she's my best friend tunashauriana maisha tunapeana connection na kukojozana 😋
 
Hio ndo point yangu mwanamke hawez kuwa kavutiwa na wewe alafu akuambie muwe kwenye friendzone

Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
Huo ndio ukweli mchungu weng hawapend kuuskia[emoji38]
 
Back
Top Bottom