Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

Vuta bangi ile mbichi halafu katongoze hata awe nani achomoi.
36029e06c7d4016eafee6957c52b1bd4.jpg
 
Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari

Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye

Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone wengi wao ni wastaarabu na jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao

Mara nyingi hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka

Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye
Nimewasilisha

Mimi kama natafuta mpenzi, nitauomba utafiki kwanza, bila papara hata wa mwaka, na mambo ya mapenzi attanzisha mwenyewe, kwa wanaume wa kweli entry ya urafiki is the best kumpata mwanamkw.

Ila ki ukweli, mwanamke yeyote akiruhusu kuwa karibu na mimi nikimtaka simkosi
 
Kwa akili ya kiutu uzima.... ukimtongoza mwanamke akikuambi tuwe marafiki maana yake ana mtu wake lakini haoni muelekeo wenye mwisho mzuri baina yao....... kwa hiyo anakuweka karibu ili aweze kuona personality yako na kufanya maamuzi sahihi mbele ya safari.......na utagundua Hilo baada ya kuona kuwa japokuwa ni marafiki mienendo yenu ni kama wapenzi na hata watu wa karibu huwadhania hivyo...... mwanamke kamwe hamuweki karibu mtu asiye na chembe ya hisia naye.........
 
Lete kisa
Kuna kadada kamoja nilisoma nako chuo kalikuwa kanachukua degree ya marketing, ni vile ambavyo vimesoma kipindi hicho international school sijui ya Moshi enzi za primary so alikuwa anajiona matawi sana.

Enzi hizo kila mtu alikuwa anapata BOOM ila yeye alikuwa anasomeshwa private kutokana na ukwasi wa wazazi wake.

Sasa mie nikawa nakalia rada maana nilikuwa mbobevu na magoma dizaini hiyo. Nikamvuta karibu akajaa nikamwaga sera. Nikatolewa mbavuni kuwa hataki kujihusisha na mahusiano so tuwe marafiki tu nikasema sawa.

Basi kakawa kanajifanya kazungu kila mara kanakuja room kwangu mara twende town mara sijui tukale. Watu wote wakajua nakula kumbe undani naujua mie.

Nilipokuwa chuo nilikuwa na umarekani fulani hivi nina afro moja matata kama Coolio (RIP) na nilikuwa naishi style kama ya 2pac fujo nyingi zisizoumiza yaani ile charming na kisela. Basi mademu wakawa wanazimia ile style ila kwa kuwa nilikuwa na huyu mzungu bandia (marafiki) wakawa wanaishia kunipa Hi tu. Sasa kuna demu mmoja alinikuta na gazeti moja (magazine) lilikuwa la hip hop linaitwa Source (wahenga mtakuwa mnalikumbuka) akaniazima.

Tukaja kuzoeana na demu aliyeazima gazeti sana baadae nikamtongoza nikawa namla. Yule demu nilimweleza kuwa huyu mzungu bandia sio demu wangu ni rafiki tu so baada ya kusikia vile akawa nae anakaba kuwa na mimi. Yule mzungu bandia kuona vile akawa full mawivu akawa ananilaumu kuwa alikuwa ananichunguza ili tuwe pamoja ila nimeshindwa kuvumilia. Siku ananipa hayo malawama kaja chumbani analia anasema nimemdissapoint sana. Funzadume nifanyeje sasa. Nikam-please kisha nikala mzigo. Baada ya hapo nikawa na mademu wawili chuoni kama Mfalme Mswati
 
Kuna ambaye alikuwa anasisitiza sisi ni marafiki,hela anataka nikitaka na mimi anasema hatujawa wa penzi, siku nikamwambia sisi ni marafiki hatupeani hela, asubiri tuwe wapenzi, ukawa ndio mwisho.
Umeona eeeh,
Mabinti utumia Chaka la urafiki kujinufaisha bila kutoa penzi[emoji4]
 
Mimi kama natafuta mpenzi, nitauomba utafiki kwanza, bila papara hata wa mwaka, na mambo ya mapenzi attanzisha mwenyewe, kwa wanaume wa kweli entry ya urafiki is the best kumpata mwanamkw.

Ila ki ukweli, mwanamke yeyote akiruhusu kuwa karibu na mimi nikimtaka simkosi
Yaan huo mwaka mzima unabembeleza TU kupendwa?

Hapo mpk umetumia nguvu zote hizo upendwi,utaonewa tu huruma ila Moyo haupo.

Akimpata crush wake hakuna rangi utaacha kuona[emoji4]
 
Kwa akili ya kiutu uzima.... ukimtongoza mwanamke akikuambi tuwe marafiki maana yake ana mtu wake lakini haoni muelekeo wenye mwisho mzuri baina yao....... kwa hiyo anakuweka karibu ili aweze kuona personality yako na kufanya maamuzi sahihi mbele ya safari.......na utagundua Hilo baada ya kuona kuwa japokuwa ni marafiki mienendo yenu ni kama wapenzi na hata watu wa karibu huwadhania hivyo...... mwanamke kamwe hamuweki karibu mtu asiye na chembe ya hisia naye.........
Tatizo hutumia Hilo Chaka kutaka huduma utadhan mpenzi, 100% atakuchukulia km danga
 
Kuna kadada kamoja nilisoma nako chuo kalikuwa kanachukua degree ya marketing, ni vile ambavyo vimesoma kipindi hicho international school sijui ya Moshi enzi za primary so alikuwa anajiona matawi sana.

Enzi hizo kila mtu alikuwa anapata BOOM ila yeye alikuwa anasomeshwa private kutokana na ukwasi wa wazazi wake.

Sasa mie nikawa nakalia rada maana nilikuwa mbobevu na magoma dizaini hiyo. Nikamvuta karibu akajaa nikamwaga sera. Nikatolewa mbavuni kuwa hataki kujihusisha na mahusiano so tuwe marafiki tu nikasema sawa.

Basi kakawa kanajifanya kazungu kila mara kanakuja room kwangu mara twende town mara sijui tukale. Watu wote wakajua nakula kumbe undani naujua mie.

Nilipokuwa chuo nilikuwa na umarekani fulani hivi nina afro moja matata kama Coolio (RIP) na nilikuwa naishi style kama ya 2pac fujo nyingi zisizoumiza yaani ile charming na kisela. Basi mademu wakawa wanazimia ile style ila kwa kuwa nilikuwa na huyu mzungu bandia (marafiki) wakawa wanaishia kunipa Hi tu. Sasa kuna demu mmoja alinikuta na gazeti moja (magazine) lilikuwa la hip hop linaitwa Source (wahenga mtakuwa mnalikumbuka) akaniazima.

Tukaja kuzoeana na demu aliyeazima gazeti sana baadae nikamtongoza nikawa namla. Yule demu nilimweleza kuwa huyu mzungu bandia sio demu wangu ni rafiki tu so baada ya kusikia vile akawa nae anakaba kuwa na mimi. Yule mzungu bandia kuona vile akawa full mawivu akawa ananilaumu kuwa alikuwa ananichunguza ili tuwe pamoja ila nimeshindwa kuvumilia. Siku ananipa hayo malawama kaja chumbani analia anasema nimemdissapoint sana. Funzadume nifanyeje sasa. Nikam-please kisha nikala mzigo. Baada ya hapo nikawa na mademu wawili chuoni kama Mfalme Mswati
Ha ha ha.....ulicheza kiume Sana,
Mwanaume utakiwi kubembeleza sn
Unakubali urafiki afu unatafta mbadala
Apo ungeonyesha uko desperate sn mzungu bandia angekunyanyasa Sana kihisia
 
Huduma kwa mwanamke ambaye haupo naye kwenye mahusiano ni jambo la khiyari.....lakini pia unaweza kutumia ajenda hiyo kusukuma na wewe ajenda yako.....si unajua moyo wa mwanamke ulivyo dhaifu.....???
Udhaifu wa mwanamke utakuja pale atakapokukubalia kwa kukuonea huruma kwa gharama ulizoingia kwa ajili yake, ila kiuhalisia hakupendi.

Sasa kwa mtu mwny target ya mahusiano ya MDA mrefu hiyo Ni Changamoto maana umezama ila mwenzako kaegesha hisia zake.

Suala la kutapigwa Chini akimpata crush wake Ni simple kabisa, vilio vya kusaga meno
 
Mwanamume aliyekomaa anajua kucheza na hisia za mwanamke huku akilinda hisia zake....

Unatakiwa uwe umekomaa kihisia ili uweze kucheza na hisia za mwanamke.....ni hatari sana kufanya hivyo kwani wanawake huwa Wana maamuzi magumu wakigundua unacheza na hisia zake kwani kwao hisia ndio kila kitu.....
 
Sahii kabisa,
Ukimng'ang'ania sn ndo ile unakua msindikizaji Kwny mahusiano ya watu.

Unamhonga nae anamhonga yule ampendae,

achana kbs na mwanamke asieyekupenda

Otherwise nawe umefata Mbususu TU.

Binafs mwanamke niliemtaman TU hata asiponipenda sawa TU,ili mradi Papa anipatie[emoji4]
Nakuelewa sana views zako
 
Back
Top Bottom