James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Tunaomba hawa walio haiRip Ben Mkapa!
Mtoa mada hukuspecify.Tunaomba hawa walio hai
Wataenda vipi kama mwenyekiti mwenyewe ngeli ni ya kulenga kwa mitama ya mchomvu,Tunaomba hawa walio hai
Sasa maerehemu si waacheni wapumzike ?Mtoa mada hukuspecify.
Kwani Lisu ngeli inapanda?!!!Wataenda vipi kama mwenyekiti mwenyewe ngeli ni ya kulenga kwa mitama ya mchomvu,
"Wi a in ze raiti traiki"
Nadhani mwamba anaweza.Wataenda vipi kama mwenyekiti mwenyewe ngeli ni ya kulenga kwa mitama ya mchomvu,
"Wi a in ze raiti traiki"
Kwahiyo Bwashee unaweza fananisha ung'eng'e wa Mheshimiwa Lissu na ile "wi a in ze rait traki" ya jiwe? Acha utani bwasheeKwani Lisu ngeli inapanda?!!!
Acheni utani bhana. Ngeli ya Lisu anazidiwa hata na January Makamba au Sugu!
LofaBoy hawezi kupumzika mkuu, wale marehemu wa Pemba wamempokea kwa mitama ya Mchomvu, na mpaka sahivi bado wanamgawana, anataman arudi dunian maana huko kati jamaa wanamshushia kichapo heavy hana hamu.Sasa maerehemu si waacheni wapumzike ?
Ngeli ya Lisu inafanana sana na ile ya Kafulila aka tumbili!Kwahiyo Bwashee unaweza fananisha ung'eng'e wa Mheshimiwa Lissu na ile "wi a in ze rait traki" ya jiwe? Acha utani bwashee
Hili nalo neno Tuangalie tuyatendayo duniani tuta kuja kupata tabu sana huko mbinguni nime kumbuka kitabu cha Rip Mkapa akijutiaLofaBoy hawezi kupumzika mkuu, wale marehemu wa Pemba wamempokea kwa mitama ya Mchomvu, na mpaka sahivi bado wanamgawana, anataman arudi dunian maana huko kati jamaa wanamshushia kichapo heavy hana hamu
Usiikwepe point yangu bwashee, unafananisha ngeli ya Kamanda Lissu na ya jiwe?Ngeli ya Lisu inafanana sana na ile ya Kafulila aka tumbili!
Nilitaka nimuulize kuhojiwa HardTalk kuna wasaidia nini watanzania?Kwa bahati mbaya siasa za Tz..kibongo bongo hii hoja haina mashiko.
Lisu amesomea Lugha kwahiyo watu wa kumfananisha nao lakini wamemwacha mbali sana ni hawa akina Tulia Ackson na Palamagamba Kabudi.Usiikwepe point yangu bwashee, unafananisha ngeli ya Kamanda Lissu na ya jiwe?
Jiwe huyu huyi asiyeweza kuzungumza kiingereza chake yeye kama yeye(kisichoandikwa)