Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,128
Kuandika kwa herufi kubwa nikupayuka.NDEGE KASUKU ANAONGEA SANA LAKINI HAWEZI KUPAA ZAID ANGANI
NDEGE TAI HAONGEI SANA ILA NDIO WANAOPAA ZAIDI ANGANI
UMEJIFUNZA NINI KUPITIA MSEMO HUU??
Kuandika kwa herufi kubwa nikupayuka.NDEGE KASUKU ANAONGEA SANA LAKINI HAWEZI KUPAA ZAID ANGANI
NDEGE TAI HAONGEI SANA ILA NDIO WANAOPAA ZAIDI ANGANI
UMEJIFUNZA NINI KUPITIA MSEMO HUU??
Ajabu kabisa!Kuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?
Kusoma Udizim na Udom mbona sawa tu kwa BongoKuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?
Kusoma Udizim na Udom mbona sawa tu kwa Bongo
Sayansi alisoma kwa lugha gani huyo jiwe?Lisu amesomea Lugha kwahiyo watu wa kumfananisha nao lakini wamemwacha mbali sana ni hawa akina Tulia Ackson na Palamagamba Kabudi.
Mtu wa sayansi ngeli inamsaidia nini? Tatizo hapo Ufipa hakuna wanasayansi wamejazana watu wa " Tokomeza Kisarawe" watupu!
Naomba nitembelee unyayo wako mkuu. Hardtalk zaidi ya kuongea inamchango gani katika maisha yako binafsi unaehojiwa au taifa lako?Kwani BBC Hard talk ndio kipimo cha nini?
Bwashee unaelewa maana ya kusomea lugha.... Ni wale wa HGL, KLF nk nk!Sayansi alisoma kwa lugha gani huyo jiwe?
Si mnasema ana PhD?? Form1 mpaka 4 kasoma kiingereza, 5 na6, diploma, bachelor degree, masters, doctorate, na bado hata kujielezea sekunde 30 hawezi 😂.
Bwashee acha utani
Atatoa povu mtaa mzima wa Lumumba ukipita uteleziLabda Polepole wa pale Lumumba
Jibu swali,Nani mwingine??Kuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?
Jibu swali,Nani mwingine??
Nani mjinga hapa? Msemaji au anayesemwa?
Kwani Lisu ngeli inapanda?!!!
Acheni utani bhana...... Ngeli ya Lisu anazidiwa hata na January Makamba au Sugu!
Lisu amesomea Lugha kwahiyo watu wa kumfananisha nao lakini wamemwacha mbali sana ni hawa akina Tulia Ackson na Palamagamba Kabudi.
Mtu wa sayansi ngeli inamsaidia nini?! Tatizo hapo Ufipa hakuna wanasayansi wamejazana watu wa " Tokomeza Kisarawe" watupu!
Acha kabisa, hapo hata Shakur angemhoji yeye ndio angetoka mbioWataenda vipi kama mwenyekiti mwenyewe ngeli ni ya kulenga kwa mitama ya mchomvu,
"Wi a in ze raiti traiki"