James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
- Thread starter
-
- #41
LofaBoy hawezi kupumzika mkuu, wale marehemu wa Pemba wamempokea kwa mitama ya Mchomvu, na mpaka sahivi bado wanamgawana, anataman arudi dunian maana huko kati jamaa wanamshushia kichapo heavy hana hamu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbinguji huendiWataenda vipi kama mwenyekiti mwenyewe ngeli ni ya kulenga kwa mitama ya mchomvu,
"Wi a in ze raiti traiki"
Nakumbuka enzi zetu kama umefeli umepata Div III basi watu wanakushauri uombe SAUT.. Div I wote huwa tunaomba UDSM tuu maaana lazima tupate tuuWasubirie wenyewe waliosoma hivyo Vyuo waje Mkuu Mimi nimesoma Chuo cha Werevu wa Kikatoliki cha SAUT ambako husomi.
Ukweli uamuzi wa Magu juu ya Corona imetuletea majanga.. Siku hizi neno TANZIA limekuwa kawaida kabisa kwa sababu tuna kiongozi Bogasi
Ukweli uamuzi wa Magu juu ya Corona imetuletea majanga.. Siku hizi neno TANZIA limekuwa kawaida kabisa kwa sababu tuna kiongozi Bogasi
Lakini nae anamzidi mwalimuKwani Lisu ngeli inapanda?!!!
Acheni utani bhana...... Ngeli ya Lisu anazidiwa hata na January Makamba au Sugu!
Salum Mwalimu. Ni kama wako sawa tu!Lakini nae anamzidi mwalimu
Huyu Polepole hardtalk yake ni pale channel ten tu.Labda Polepole wa pale Lumumba
Jiwe vp yeye kimombo kinapanda? [emoji3]Kwani Lisu ngeli inapanda?!!!
Acheni utani bhana...... Ngeli ya Lisu anazidiwa hata na January Makamba au Sugu!