NABEEL SADIO
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 352
- 580
Unathibitisha kuwa Jiwe lugha inampiga chenga? [emoji3]Lisu amesomea Lugha kwahiyo watu wa kumfananisha nao lakini wamemwacha mbali sana ni hawa akina Tulia Ackson na Palamagamba Kabudi.
Mtu wa sayansi ngeli inamsaidia nini?! Tatizo hapo Ufipa hakuna wanasayansi wamejazana watu wa " Tokomeza Kisarawe" watupu!
hujui kama kile kipindi ndicho kilimuanika akaonekana si msemakweli?Labda Polepole wa pale Lumumba
Nakumbuka enzi zetu kama umefeli umepata Div III basi watu wanakushauri uombe SAUT.. Div I wote huwa tunaomba UDSM tuu maaana lazima tupate tuu
hawa jamaa wanamfanya marehemu baba yangu aliyeishia darasa la pili aonekane Profesa. Yaani mtu anathubutu kuweka uzi hapa sababu tu Lissu kahojiwa na HardTalk, kipindi ambacho hapa UK watu hata hawakiangalii sababu siyo muhimu. Ukiona time slot ya kipindi hakipo Prime Time ujue hawana muda nacho. Kama wanataka waingereza wamuone mwanasiasa yeyote basi atahojiwa katika kipindi kiitwacho News Night ambacho kinarushwa baada ya taarifa ya habari ya saa nne usiku. Ama wamamuhoji katika kipindi cha Andrew Marr cha jumapili saa mbili ya asubuhi. Hiyo HardTalk wanaioiangalii ni watu kama huyu mtoa habari na na wengine nje ya UKKitu pekee ambacho nakijua tu ni kwamba kama Wewe siyo Mwerevu ( Intelligent ) kabisa huwezi Kusoma Chuo Kikuu changu cha SAUT.
Kuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?
weka clip aliyohojiwa na CNNUnafananisha CNN na Millard Ayo?!
Akishakufa anaacha kuwa mtanzania? Mentality zetu zina kasoro sana. Tunataka kuwafurahisha wazungu tu. Si mhamie Ulaya mtuache na Tanzania yetu? Nani kasema kipimo cha kuwa sawa ni lazima ufurahishe wazungu? Yes tumeona haya haya tena wakati wa Corona. Na Mwenyezi Mungu amewaaibisha, maana wanakufa kama kuku wa mdondo pamojana science yaoTunaomba hawa walio hai
Halafu Kikwete si alihojiwa na CNN na mwanamama Christiana Amanpour ama Hardtalk ndiyo kipindi special. Mkiambiwa mashokolo mageni mtakasirika? Mmeanza tu kukifahamu kipindi cha hardtalk sababu ya Lissu ndiyo maana mnakiona kipindi kikubwa sana lakini hamhujui kuna vipindi vingi zaidi ya hicho.weka clip aliyohojiwa na CNN
Hawa watu tuwaonee huruma tu. Sera sasa hivi ni kuhojiwa na Hardtalk ama kuzungumza kiingereza kwenye mdahalo hakuna kitu kingine wafuasi wa CDM wanakijua na ndiyo maana watapigwa chini uchaguzi huuAkishakufa anaacha kuwa mtanzania? Mentality zetu zina kasoro sana. Tunataka kuwafurahisha wazungu tu. Si mhamie Ulaya mtuache na Tanzania yetu? Nani kasema kipimo cha kuwa sawa ni lazima ufurahishe wazungu? Yes tumeona haya haya tena wakati wa Corona. Na Mwenyezi Mungu amewaaibisha, maana wanakufa kama kuku wa mdondo pamojana science yao
Mwal. Nyerere alisema hizo ni dalili za kufilisika..ukianza kujivunia au kujisifia vitu vya kijingajinga kama ukabila, udini, kuhojiwa hardtalk..n.k
Halafu Kikwete si alihojiwa na CNN na mwanamama Christiana Amanpour ama Hardtalk ndiyo kipindi special. Mkiambiwa mashokolo mageni mtakasirika? Mmeanza tu kukifahamu kipindi cha hardtalk sababu ya Lissu ndiyo maana mnakiona kipindi kikubwa sana lakini hamhujui kuna vipindi vingi zaidi ya hicho.
Mapovu yote haya ni kwa ajili ya hiyo sentensi yangu moja ?Akishakufa anaacha kuwa mtanzania? Mentality zetu zina kasoro sana. Tunataka kuwafurahisha wazungu tu. Si mhamie Ulaya mtuache na Tanzania yetu? Nani kasema kipimo cha kuwa sawa ni lazima ufurahishe wazungu? Yes tumeona haya haya tena wakati wa Corona. Na Mwenyezi Mungu amewaaibisha, maana wanakufa kama kuku wa mdondo pamojana science yao
hawa jamaa wanamfanya marehemu baba yangu aliyeishia darasa la pili aonekane Profesa. Yaani mtu anathubutu kuweka uzi hapa sababu tu Lissu kahojiwa na HardTalk, kipindi ambacho hapa UK watu hata hawakiangalii sababu siyo muhimu. Ukiona time slot ya kipindi hakipo Prime Time ujue hawana muda nacho. Kama wanataka waingereza wamuone mwanasiasa yeyote basi atahojiwa katika kipindi kiitwacho New Night ambacho kinarushwa baada ya taarifa ya habari ya saa nne usiku. Ama wamamuhoji katika kipindi cha Andrew Marr cha jumapili saa mbili ya asubuhi. Hiyo HardTalk wanaioiangalii ni watu kama huyu mtoa habari na na wengine nje ya UK