BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
- Thread starter
- #21
Pole sanabango langu hili kuna best yangu ananifariji Wallah ila likija kwake ananikuta dhofri hali naumiaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanabango langu hili kuna best yangu ananifariji Wallah ila likija kwake ananikuta dhofri hali naumiaga.
SahihiMkuu unapomsaidia mtu awaye yeyote, namaanisha awe ndugu au rafiki just do it for free na usitegemee chochote,, kwasababu sio kila mtu ataona umuhimu wa msaada wako hapo ndipo utakapozalisha maumivu
PamojaSahihi
Nikiangalia muda sasa ni saa kumi vp umeshakunywa chai mkuuNataka nianze kuwa na roho mbaya....ile kiroho mbaya haswaa ili niendelee
Tayari mkuu 😂Nikiangalia muda sasa ni saa kumi vp umeshakunywa chai mkuu
Takers have no limit mkuuRoho mbaya ni ile inayompangia MUNGU nani anafaa kubarikiwa na nani hafai kwa vigezo vya kibinaadamu. Kwa bahati mbaya sana Wenye Roho mbaya hujiumbua wenyewe. Ishi kawaida kama siku zote Boss usijiingize hakufai
Uzi ufungweItoshe kusema tenda wema nenda zako[emoji18][emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo nikipata hela nalogwa
Hakika huwa ninasononeka sanaaa! Ila huwa sio mwisho wa kusaidia. In short huwa sina expectations kubwa kwa mtu nitakayemsaidia.Wewe unapokwama na ukakosa msaada kwa uliowategemea inakuaje!