Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

Roho mbaya ni ile inayompangia MUNGU nani anafaa kubarikiwa na nani hafai kwa vigezo vya kibinaadamu. Kwa bahati mbaya sana Wenye Roho mbaya hujiumbua wenyewe. Ishi kawaida kama siku zote Boss usijiingize hakufai
Takers have no limit mkuu
 
Back
Top Bottom