hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hii Safi sanaNamwita wife pembeni kama kuna kitu namuagiza afu namuuliza huyo ni nani? Bila mhusika kusikia
Au nawafuata wote afu namuuliza wife unaelekea wapi saiz,
Au nampigia simu kama hawajaniona namuuliza uko wapi wife akinidanganya naanza kuwafuatilia akijibu sahihi namuuliza huyo ni nani
Baada ya hapo natengeneza ratiba nyingine ya ghafla kwa wife ili mradi abadili route na kuelekea nyumbani. Akifika home semina na kipindi cha maswali na majibu kinaanza