Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS"
Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno.
Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa vituko ili uutangaze ubunifu wako or utafute mtu alie kama ameweuka na mwingi wa vituko ndio akutangazie brand yako ili iwe hewani tofauti na hapo wewe mwenyewe usioweza uchawa na utupu ndio utaonekana mshamba.
Sasa hivi Kijana wa a aina ya utupu utupu, scandal, uchawa, vituko vya ajabu ndio anakuwa televised na kuwa branded.
All in All, BE YOU! USIWEUKE KWA HIARI!